Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
😂😂😂 mimi bado sana ni mtoto bhnaAnawahi mda usimtupe mkono 😂
Anachuana vikali na chalii ya 2006 Johnnie Walker
😂😂😂 mimi bado sana ni mtoto bhnaAnawahi mda usimtupe mkono 😂
Anachuana vikali na chalii ya 2006 Johnnie Walker
Watoto wananyonya acha kudeka 😂😂😂😂 mimi bado sana ni mtoto bhna
tuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague nani😶Nimekupenda wewe sasa, wengine sioni au unataka cv na mimi?
haha hivi hamsomi comment zangu ID yake ya mwanzo alikuw anajiita shetani mkuu🤣🤣🤣 huyu wa kukemeatuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague nani😶
kumbe alikua shetani🙄🙄, basi ngoja nibaki na wewe tu Gily kama ni ivo 😅haha hivi hamsomi comment zangu ID yake ya mwanzo alikuw anajiita shetani mkuu🤣🤣🤣 huyu wa kukemea
Binadamu Mtakatifu acha kunichukulia ndege wangu bas🙃
🙄tuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague nani😶
nambie nimchague nani hapo kati ya hao😶
Umemsagia kunguni dogo mpaka umeshinda 😅haha hivi hamsomi comment zangu ID yake ya mwanzo alikuw anajiita shetani mkuu🤣🤣🤣 huyu wa kukemea
Binadamu Mtakatifu acha kunichukulia ndege wangu bas🙃
Atakujibu yeye ila pesa ipowow, vipi uchumi wake ukoje 😎
sawaAtakujibu yeye ila pesa ipo
Gily tema mpunga kwa mtoto mzurisawa
😂 kwa kunadi sera tu unajua mkuuPicha inayonijia nikimuona Leejay49 ni kama Nancy Sumari. Nadiriki kumuita miss Africa. 😀 aside kunifanyia ya MB Dog tu
Her wish is my command. I look forward anizalie vitoto vizuri vizungu kama Baba yao😀 utakuwa baba wa ubatizo😀😂 kwa kunadi sera tu unajua mkuu
😂😂😂 koma narudia tena komaaaa 😂😂😂 hiyo kazi mpe apostoHer wish is my command. I look forward anizalie vitoto vizuri vizungu kama Baba yao😀 utakuwa baba wa ubatizo😀