Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
- Thread starter
- #141
Young boytuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague naniš¶
Sina kaziiii mwanachuu
Mweupe kdg
Mref kdg
Sio mnene
Karibu
Young boytuma Kwani na we ya kwako, ili nijue kati ya we na Gilly nimchague naniš¶
Dogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wakoYoung boy
Sina kaziiii mwanachuu
Mweupe kdg
Mref kdg
Sio mnene
Karibu
š dogo bado sana ngojq apigwe na kitu kizitoDogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wako
Hakuna weupe kidogo, mrefu kidogo wala sio mnene𤣠hizi sifa kama unataka kujiita Half american š¤£
ššš¤£š¤£ ila kale kairizi si mzee kijana alikichukuaUsichokijua aposto kwa mdomo wake mwenyew kakiri ana kizizi na anajipaka mafuta ya naziš¤£š¤£š¤£ Analyse
Shikamooo mamsapuDogo uwe unaamkia shikamoo mabrother wako
Hakuna weupe kidogo, mrefu kidogo wala sio mnene𤣠hizi sifa kama unataka kujiita Half american š¤£
Shikamooo mamsapu
yani apo kwenye kutokua na kazi hapo baaaasišYoung boy
Sina kaziiii mwanachuu
Mweupe kdg
Mref kdg
Sio mnene
Karibu
š Kazi yangu kubet hapo je?yani apo kwenye kutokua na kazi hapo baaaasiš
ššš Mangi majanga huyu atafirisiwa kwenye harakati zake na mashangaziWewe unasumbuliwa na huyo kuku
Nakwambia hivi uyo atarudi rombo na shangazi kajaššš Mangi majanga huyu atafirisiwa kwenye harakati zake na mashangazi
hapana sitaki, me nataka kazi za kukaa kwenye viti vya kuzunguka ofisini š¤š Kazi yangu kubet hapo je?
Okay basi nipee siku moja nikate kiu kipindi napambanahapana sitaki, me nataka kazi za kukaa kwenye viti vya kuzunguka ofisini š¤
wewe endelea kupambana kwanzaOkay basi nipee siku moja nikate kiu kipindi napambana
Kweli masikini hazaminiki š¶š¶š¶ Ngoja nifanye utaratibu Chaputa tu nipate kadiwewe endelea kupambana kwanza
aya safari njemaKweli masikini hazaminiki š¶š¶š¶ Ngoja nifanye utaratibu Chaputa tu nipate kadi
Mref kdg

Shikamooo mamsapu
Alidanganya š huwa anatembelea hiriz na anajipaka mafuta ya nazišššš¤£š¤£ ila kale kairizi si mzee kijana alikichukua