Mlimani health center
JF-Expert Member
- Nov 25, 2021
- 595
- 1,515
Mkuu kwenye haya maisha kubal tu hakuna cha peke yako lasivyo utaja kufa na presha
😂😂😂 kwahiyo jamaa anapaa na ungoAlidanganya 😁 huwa anatembelea hiriz na anajipaka mafuta ya nazi😀
😀😀 nani kasema. Huogopi kulogwa vitu vingine semea moyoni😂😂😂 kwahiyo jamaa anapaa na ungo
🤣🤣🤣 kwa sababu nimeshindw kuyapata mashangazi najua unayapata kwa kiziziWapi nimesema hivyo? 😅😅
Bora umenikumbusha 😂😀😀 nani kasema. Huogopi kulogwa vitu vingine semea moyoni
Oi Carrasco na Mzee wa kupambania hebu msaidieni kijana. Anahitaji shangazi mmoja. Nilionao Mimi nahisi wanaweza kumuwehusha 😅😅🤣🤣🤣 kwa sababu nimeshindw kuyapata mashangazi najua unayapata kwa kizizi
Cjawahi kuwa mfupi broWewe ni mfupi bana acha uongo bro
Una futi ngapi....
Unameno kama yangu unweza dhani ni punje ya mahindi
Cjawahi kuwa mfupi bro
Unataka umchongee jenez au😅Una futi ngapi?
Nashindwa kuamini kwamba ni mrefuUnataka umchongee jenez au![]()
labda kwasabu ya ile avatar yake alimueka Jerry
Hatuna wasiwasi na kimo kwaiyo sijawahi pimaUna futi ngapi?
🙄🙄🙄Ukiona ID kongwe, ipo miaka kibao lakini Ina title ya member au senior member, tambua hao ndio wazee kushinda PM wanasumbua dada zetu.
Wao hawana time na kuanzisha threads, Wana projects zao 😅😅😅