Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
We fatilia uone 😅😅hah kwa kunichekesh inabid nikulip 🤣🤣
ngoja niwek tangaz la kutafut shangaz😃
We fatilia uone 😅😅hah kwa kunichekesh inabid nikulip 🤣🤣
ngoja niwek tangaz la kutafut shangaz😃
Nyie ndio mnaopakwa wese, mnadhani kila mada ni ya pesa ulipo umepanga chumba kimoja simu ya shemeji unajiona donTafuta hela...kapuku wewe
Waache waende na spidi zao 😅😅Vijana wapo fasta sana
Kwakweli watupe mbinuhizi sifa zinawafaa sana Analyse na Half american wana vizizi vya kupata mademu
SawaaaHakuna cha peke yako ndugu.
Mke wako ni demu wa mwenzako kama ilivyo demu wako ni mke wa kidume mwingine.
As long as hagongwi mbele yako maana hiyo itakuwa dharau, wewe endelea na yako tu. Ukipewa kula mengine yaache yapite.
Ukimchunguza bata sana hutomla.
KwakweliKila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
Wewe mm cwez tumia dk 2Atumie dk zake 2 vizuri, afu apite hivi...![]()
Wewe mm cwez tumia dk 2

Napata mademu ila sio shabiki wa game kila maraIngekua unawakaza vizuri wangekua wanakumiminikia, tatizo unahangaika na mapenzi![]()
Wewe utakula bibi 😂 sasa unataka ule mshangazi na uko na 48 yrs ? 🤣😂Sijawah kula shangaz tok nizaliwe
Aposto kanitamanisha sana🤣
Changamka....ujana ni mfupiNapata mademu ila sio shabiki wa game kila mara

Alafu ndio jua linazama 😂Gily anachipukia 😅😅
So bro akikuletea ukimwi utajisikiaje?Hakuna cha peke yako ndugu.
Mke wako ni demu wa mwenzako kama ilivyo demu wako ni mke wa kidume mwingine.
As long as hagongwi mbele yako maana hiyo itakuwa dharau, wewe endelea na yako tu. Ukipewa kula mengine yaache yapite.
Ukimchunguza bata sana hutomla.
🤣🤣🤣🤣 aisee we Fala sanaWewe utakula bibi 😂 sasa unataka ule mshangazi na uko na 48 yrs ? 🤣😂
Ndio maana ana moto sana 😅😅Alafu ndio jua linazama 😂
Acha kushusha umri, wakikupenda hawatoangalia umri wako. Ila kuwa mkweli tu, ni 48 au 49? 😅😅🤣🤣🤣🤣 aisee we Fala sana
Aliyekwambia nina 48 years nani? watu wa 48 nawaamkia shikamoo🤣🤣🤣 unavuta bangi sana we dogo🤣🤣
Kuna kipindi katika maisha inabidi uishi kwa matumaini tu kutarajia yaliyo na heri maana moyo wa mtu ni kiza kinene.So bro akikuletea ukimwi utajisikiaje?
Assume we ni mwanaume huna tabia za kimalaya , we ni mwendo wa kulala na mkeo basi, mtu yeyote ukihisi ndivyo sivyo mchunguze tu, magonjwa ni mengi mno.
Nibless basi mdogo wakoChangamka....ujana ni mfupi![]()
MhhhhhKuna kipindi katika maisha inabidi uishi kwa matumaini tu kutarajia yaliyo na heri maana moyo wa mtu ni kiza kinene.
Hakuna unaloweza fanya kumzuia mtu kuchepuka akitaka kuchepuka. Ndio maana nikasema as long as hafanyi mbele yako na huna shaka kuwa anafanya lolote baya basi unaishi kwa kujipa moyo tu.
Ikitokea ukaletewa ngoma basi hayo ndio majaaliwa yako. Itakuwa uzembe kupata maradhi ikiwa unajua anazini nje ila kama hujui ni ajali kazini.
🤣🤣🤣 sio motoNdio maana ana moto sana 😅😅
Anawahi mda usimtupe mkono 😂Ndio maana ana moto sana 😅😅
😂🤣 namba haziongopi mkuu🤣🤣🤣🤣 aisee we Fala sana
Aliyekwambia nina 48 years nani? watu wa 48 nawaamkia shikamoo🤣🤣🤣 unavuta bangi sana we dogo🤣🤣