Msile vyote mtuachiage na sisi

Msile vyote mtuachiage na sisi

😅😅🙌, em tuma Kwani nizione
Sifa zangu
1 I am married but natafuta mchepuko mzuri wa kunipa mawazo stress hazinitosh

2 Nina kitambi ila sio kikubwa sana

3 Sina kazi ila ninapiga vibarua sema sio vibarua vya kulima😀

4 Nina kiuwaraza ila kina nywele bado hakijasa upara

5 Mkristo

Navyofanania ngoja nitupie picha
52ungzsqoww81.jpg
aye-my-people-whats-it-looking-like-v0-x8knceusfii91.jpg
 
Mbuzi wengine hula kwa huruma za mchungaji. Kamba inaweza kuwa ndefu ila kafungwa kwenye uwanja wa basketball
Point kbs
Kumbe amechange jina ? 😅😅
😂😂😂 Mkuu huyo jamaa najua yangu mengi ila bado mwambie ajue na nyingine
Ni wa kiume....tunafanyaje sasa...
Baki nae
😅😅🙌, em tuma Kwani nizione
Tapeli huyo mchaga, njoo usambaani
Alikuw ana ID tatu zote Zina majina shetani. Ile nyingine ya Ubobo ikafutlie mbali na hii ndio inaitw binadam mtakatifu
Hebu atupie picha tumuone kwanz😀
Kuna nyingine ukiipata nakupa mdogo wangu buree
Picha yangu 😂😂😂 mkuu mm bado young sana
 
Sifa zangu
1 I am married but natafuta mchepuko mzuri wa kunipa mawazo stress hazinitosh

2 Nina kitambi ila sio kikubwa sana

3 Sina kazi ila ninapiga vibarua sema sio vibarua vya kulima😀

4 Nina kiuwaraza ila kina nywele bado hakijasa upara

5 Mkristo

Navyofanania ngoja nitupie picha
View attachment 2593424View attachment 2593425
bora tu hata ungenidanganya rafiki yangu, haaaaa🤣, mi sitaki 🙄🙄🙄
 
Point kbs

😂😂😂 Mkuu huyo jamaa najua yangu mengi ila bado mwambie ajue na nyingine

Baki nae

Tapeli huyo mchaga, njoo usambaani

Kuna nyingine ukiipata nakupa mdogo wangu buree
Picha yangu 😂😂😂 mkuu mm bado young sana
🤣🤣 mjini kila mtu ni young😀
 
Sifa zangu
1 I am married but natafuta mchepuko mzuri wa kunipa mawazo stress hazinitosh

2 Nina kitambi ila sio kikubwa sana

3 Sina kazi ila ninapiga vibarua sema sio vibarua vya kulima😀

4 Nina kiuwaraza ila kina nywele bado hakijasa upara

5 Mkristo

Navyofanania ngoja nitupie picha
View attachment 2593424View attachment 2593425
Gily we jamaa kwanini usingeimba rege
 
Back
Top Bottom