Msile vyote mtuachiage na sisi

Msile vyote mtuachiage na sisi

Wanaume wenzangu msile mazao na mbegu bana sisi watoto wenu tutapanda na kula nini?

Yani sasa hivi hata kama nimekaa tu na washkaji kwa jinsi pisi zinavyoliwa najua tu hata nikioa wataliwa tu alafu wanawake wanapenda mizagamuano yani sijui na bahati mbaya mademu wangunwote wanapenda

Ila mimi ni normal tu nafanya kwa kumiss sio chakula inapelekea kuwa na feelings na pressure

Kinachoniuma ni hawa kaka zetu wanapiga miguu yote vikongwe mpaka watoto sasa sisi tule nini?
Acheni hizo bana
umeongea kwa uchungu, anyway ngoja nisome comments 😅🙌
 
Back
Top Bottom