Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,919
- 2,056
Kwi kwi kwi we jamaa ni sheedahUmewahi kwenda kuswali ukabaguliwa? Na kwa Africa weupe nao una madaraja, hao wanaobaguliwa ni weusi kiaje?
Bro utastaarabika lini bro?Misikiti yote ina ubaguzi.
Inabagua wasiotaka kuvua viatu mlangoni.
Sema jingine.
Nimeshakujibu.La kanisani umelitoa wapi?
Interesting!Wewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Wewe si mswaliji na sio muislam.Kuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Kwani umeambiwa na nani kwamba kuingia na viatu msikitini hairuhusiwi..!!??Hujajibu la kanisani umelitoa wapi.
Msikiti haubagui kwa msingi wa wanaoingia kwa kuvaa na kutovaa viatu?
Mimi Muafrika. "Kustaarabika" ni kuwa muarabu. Mzizi wa "ku sta arab ika ni kutaka kuwa muarabu.Bro utastaarabika lini bro?
Hujaeleza umelitoa wapi la kanisani.Nimeshakujibu.
Kwa nini unafikiri nimeambiwa na mtu?Kwani umeambiwa na nani kwamba kuingia na viatu msikitini hairuhusiwi..!!??
Limetokea kule lilipotokea suala la viatu katika hii mada.Hujaeleza umelitoa wapi la kanisani.
Unaokoteza vitu hewani.
Hujui kama unaenda au unarudi.Limetokea kule lilipotokea suala la viatu katika hii mada.
Huu ni Msikiti wa Shia Ithinasharia katika Itikadi hii waswahili huwezi waoma wengi kutokana kuwepo kwa tofauti ya mapokeo. Waswahili ni wachache na wengi wao husalia kwenye Msikiti wao uliopo kule Kigogo.HUO MSIKITI UPO JILANI NA LILIPODONDOKA LILE GHOROFA...NAZANI NI MTAA WA IDRAGANDI;
ULE MSIKITI KWAKWELI WANAOSALI NI WEUPE TU; NA WALIUJENGA SPECIAL KWA AJILI YAO! RANGI NYEUSI NI MARUFUKU! NAUJUWA
Limetokea kule lilipotokea suala la viatu katika hii mada.
•Islam doesn't go that way..Uanabaguliwa ndiyo..sasa ulitaka iwaje? Kwani itakuwa ni Mara ya kwanza kubaguliwa?? Ndo maana kuna wazungu,waarabu,waafrika wahindi nk. Similar birds flock together bwana...ulitaka uwe kenge kwny msafara wa mamba? Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba mkuu.. Kwani ukiswali msikiti mwingingine kwani kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi kaka. Hata watoto hucheza na wenzao wanaoendana! Unalalamika kubaguliwa nchini kwako? Ubaguzi ulikuwepo tangu enzi za akina Said Balaghash itakuwa leo?