Sijaongelea kanisani, nimeongelea msikitini.Kwa sababu ulikuwa ukiingia kanisani na viatu basi unataka kila sehemu iwe hivyo hivyo.
Sitaki kusema kwamba upungufu wa elimu kwa kitu unachokijadili ndiyo kilichokufanya uropokwe hivyo.
Mbona mi na swali kila sikuKuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Sasa ndiyo umeongea nini? Unatatizo la kujiona unajua sana na mwishoni unaandika pumba.Sijaongelea kanisani, nimeongelea msikitini.
La kanisani umelitoa wapi?
Huyu analalamika ubaguzi katika nyumba ambayo msingi wake ni ubaguzi.
Hoja haina mantiki.
Hujajibu la kanisani umelitoa wapi.Sasa ndiyo umeongea nini? Unatatizo la kujiona unajua sana na mwishoni unaandika pumba.
We suala kutokuvaa viatu msikitini linahusika vp na ubaguzi? et nyumba ambayo msingi wake ni ubaguzi.
Kuzoea kwako kuingia kanisani na viatu,basi unataka na nyumbani zengine za ibada ziwe na utaratibu huohuo.
Mada siyo msikiti. Mada noli ubaguzi, tujadili hilo kwanza, mengine baadae.Wewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Mkuu umempa za uso baaaaaabkubwa,huyu anataka kutuchafulia hali ya hewa humu jukwaani,naomba moderators wamchunge huyu kefule.Wewe kama sio muumini wa huo msikiti
unakuwashia niini?
mbona misikiti ipo mingi tu Tanzania?
Msikiti haupo mmoja, hebu ingia kama utatolewaKuna msikiti fulani upo maeneo ya posta jijini daresalaam huwa siwaelewi waumini wake?
Katika uchunguzi wangu nilipata kuambiwa kuwa watu weusi hawaswali katika msikiti huo, pia kuna ubaguzi wa rangi !!
Inawezekanaje wazawa wabaguliwe katika nchi yao ? Natamani kusikia shuhuda na adha za wenzangu walioweza kuhudhuria msikiti huu wa posta .
Hamna haja ya kuutaja wahusika wanaujua
Mrembo za siku?,Nifah hata wewe tena na issue kama hii ya uongo?Weka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.
Kasema kweli, kama nini jenga wa kwakoTulia watu wajadili mada kama huna points
Kama nilivyoeleza kuwa kwa sababu wewe ulizoea kuingia kanisani na viatu basi unataka na nyumba zengine ziwe na utaratibu huohuo,na ndiyo maana kwako wewe japo msikitini watu wote huvua viatu ila wewe unaita ubaguzi et kwa wenye kutaka kuvaa viatu.Hujajibu la kanisani umelitoa wapi.
Msikiti haubagui kwa msingi wa wanaoingia kwa kuvaa na kutovaa viatu?
Naona wewe haujawahi kukumbana na kimbembe cha ubaguzi wa aina yoyote nadhani, usingetumia hilo neno "patachimbika".Weka jina la msikiti nikajaribu...nione huyo atakayenizuia,patachimbika.
La kanisani umelitoa wapi?Kama nilivyoeleza kuwa kwa sababu wewe ulizoea kuingia kanisani na viatu basi unataka na nyumba zengine ziwe na utaratibu huohuo,na ndiyo maana kwako wewe japo msikitini watu wote huvua viatu ila wewe unaita ubaguzi et kwa wenye kutaka kuvaa viatu.
sasa wewe Nifah si mweupe jamani?.Wallah akiutaja na hivi kesho naenda Posta nitausaka hadi niupate.
Hata mimi sijui kapotelea wapi jamani FaizaFoxy wangu...
Ndiye role model wangu JF hii.