tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,833
- 29,330
zimamoto wamefika moto ukiwa umeshazimwa na Raia wema,moshi ulikua mkubwa sana cha ajabu msikiti haukuwa na umeme..radio mbao zinadai kuna vuguvugu la ugomvi kati ya vijana na wazee!!
hawa zimamoto ni QUMER sana. wakati napita pale Mtambani gari ya zimamoto nayo ikawa inawasili huku moto ukiwa umeishazimika kitambo. kama raia hawakuwapiga mawe hawa matutusa wa zimamoto nitawashangaa sana.