Msikiti wa Mtambani unaungua

Msikiti wa Mtambani unaungua

kazi zote za binadamu hazina ukamiliefu,ni bahati isiokua nzuri tu. polen sana wahanga wa tukio hilo.
 

Ni kweli wanahujumiana..huo msikiti ni wa Bakwata, waliwakaribisha Answar Sunna..kwamakubaliano kwamba wakae hapo kwa muda tu, ilipofika wakati wa kuurudisha jamaa wakagoma..issue ikapelekwa mahakamani, inasemekana hukumu ilikua itolewe kipindi kile cha moto wa kwanza, inaonekana jamaa wa Answar Suinna hawataki kuachia msikiti na wakiachia wanataka watie hasara..kuna vitoto vinatwanga karate pale!

Wakishindwana watupe/watuuzie tujenge kanisa..
 
Hata misaada iliyotolewa kusaidia Moto wa kwanza haijafika yote ...msikiti unaungua???. VIONGOZI wa msikiti waulizane....
Siku hizi ugomvi wa kugombea nyumba Za ibada ...makanisa na misikiti ..upo Sanaa
 
huu ni upotoshaji mkubwa hakuna msikiti unaoungua
 
Hata misaada iliyotolewa kusaidia Moto wa kwanza haijafika yote ...msikiti unaungua???. VIONGOZI wa msikiti waulizane....
Siku hizi ugomvi wa kugombea nyumba Za ibada ...makanisa na misikiti ..upo Sanaa

Pengine wameshapiga hela kwa hiyo wanafuta ushahidi...
 
Kha! Kwa kuanzisha ligi nakukubali mkuu. Subiri hadi Radio/TV Imani itakapotangaza ndo uamini..

Navyokwambia watu wanaswali sasa hivi kuna lundo la waandishi wa habari hapa kulikuwa na gari la zima moto limeomdoka walikuwa.wanachoma uchafu pale karibu na mlango kama hutaki basi
 
Navyokwambia watu wanaswali sasa hivi kuna lundo la waandishi wa habari hapa kulikuwa na gari la zima moto limeomdoka walikuwa.wanachoma uchafu pale karibu na mlango kama hutaki basi

Kusoma hujui hata picha huoni, dah! Kwa hiyo kuchoma uchafu
ndo watoe madawati nje? Kweli sikuwezi...

View attachment 184807
 
Back
Top Bottom