Msikiti Dodoma waungua

Msikiti Dodoma waungua

Oooch Majini siyatakuwa yameungua yote au walifanikiwa kuyatoa..!
 
Utakatwa shingo wewe! Ngoja wakufahamu

..........
Kunikata sio issue...... tatizo ni watakavyojopata coz Nina ulinzi mkali usioonekana .......wataimna takibiri mpaka makoo yakauke na hawatanipata🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
wewe ni nguvu mali, ungelikuwa akilimali tungeshangaa. maana mwenyeakili hufikiria kabla ya kuzungumza, lkn mwenyenguvu.............................
 
Manachoma makanisa wenyewe kwa kugombea sadaka sio waislamu
wewe cute!sio kila mada unayoikuta humu ni lazima uichangie hata kama huna point muhimu,hili ni swala la kuhudhunisha,na mleta mada ameshasema kua ni shot ya umeme,sasa hayo unayoyanena yametoka wap?!!hili jukwaa la watu wenye hekima na utashi uliokomaa,ndio maana kumetenganishwa majukwaa,kua makini sana,usiropoke hovyo,kama huna cha kuchangia basi soma na upite kimya kimya.
 
Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu.

Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.

Poleni ndugu zetu waislam.

attachment.php


Source: Magic F. M.

Wakristo hao ndo wamechoma
 
Back
Top Bottom