Msikiti Dodoma waungua

Msikiti Dodoma waungua

Poleni sana ndugu zetu. Mungu mwema awajaalie kheri katika kazi zenu za kila siku
 
waislamu hajashutumu ni kina nani wanahusika,wengine wanashutumu kuhusika kwa watu fulani bila ya kuwa na uhakika.

Sawa, lakini 'usi-geralise' kuwa 'wengine' ushutumu 'upande fulani' unahusika. Tusichanganye maoni(opinion) ya mtu 'mmoja' au 'kikundi cha watu' kuwa ndiyo ukweli(fact) kwa jamii husika. Sababu hakuna msimamo wa pamoja uliofikiwa kutuhumu jamii nyingine. Namaanisha watumishi wa Mungu hawajawahi kuwatuhumu viongozi wa dini nyingine kuwa wanahusika. Kama una ushahidi weka wazi.
Please, do not confuse fact with opinion.
Chamsingi, ndugu yangu, ni kuendelea kushirikiana bila ubaguzi wowote wa kidini,kikabila, kikanda, kisiasa, kielimu au wa aina yoyote: Tukiushinda ubaguzi hayo yote unayolalamikia hayatakuwepo.
May God be with Us All.
 
poleni warangi wa dodoma na wageni, gogoz if nt anglicans basi ni romans.
 
Watanzania wana Udini sana. Ni kweli ingekuwa kanisa ungeona michango mibaya kabisa yenye hisia ambazo mtu hana ushahid anafanya conclusion. Hili jambo limejaa hata hapa JF. Watanzania tuache haya mambo, huna ushaid huwez kutoa hukumu, ni sawa tu na udaku!
 
Manachoma makanisa wenyewe kwa kugombea sadaka sio waislamu

Bila shaka wewe ni miongoni mwa wachoma makanisa. Huwezi kueneza dini kwa kuchoma nyumba za ibada za imani isiyokuhusu. Roho mbaya na ya kishetani. Shame on you.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kashangae wenye honorary degree(PhD) wanaojiita Dr.
Tatizo nini?. Mlipokuwa mnasema CHADEMA wanajilipua kwa mabomu, mlikuwa mnafikiri 'out-come' yake itakuwaje?. Leo tumefikishwa hapa hata msikiti ukiungua 'logic' ni kuwa wenye msikiti wamejiunguza. Acha undumila kuwili. Kama mliamini hivyo kwa cdm kwanini msiamini hivyo kwa wengine?. Muache kusema cdm wanajilipua,muache kusema wakristo tunachoma makanisa hili tuibe sadaka!Pamoja na yote. Nawapa pole waislam wote kwa kuungua msikiti.

wacha unafiki mambo ya chadema yameingiaje huku
 
Umeungua msikiti wa Gadafi?

Ghaddafi Mosque, Dodoma.JPG
 
Msikiti mkubwa wa barabara ya saba Dodoma hivi sasa unaungua moto. Imetokea mapema baada ya ibada ya Ijumaa na umeanzia ghorofa ya juu.

Kuna taharuki kubwa! Hofu nyaya za umeme zitashika moto. Hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.

Poleni ndugu zetu waislam.

attachment.php


Source: Magic F. M.

daaah,msikiti wa manyema huu
 
Poleni kwa waislamu wote kwa ajali mbaya mola awape utulivu... yeye aliyewapa uwezo wa kujenga kamwe hashndwi kuwarejeshea japo ni hasara kubwa
 
Ingekuwa kanisa hii thread ingejaa watu na kunyoosheana vidole kungeanza!

acheni mabaya ili msinyooshewe vidole:
Wakristo Hatuna historia ya kuchoma msikiti ndio maana hamuwezi kutunyooshea kidole.
Kinacho furahisha ni kwamba mnachoma majengo ya kanisa halafu mnajilaani wenyewe na kujiita wauni,
ile quran iliyokojolewa si ni ya wahuni! na ndio waliochoma makanisa.
 
Waislamu ni wasomi,hawabuni,wakasema labda ni watu fulani ndio wamechoma,wao ni waelewa,na ni watu wasiopenda kuwazushia wengine kama wamefanya jambo fulani bila ya kuwa na uhakika.
Swadakta!! Hakuna kumsingizia mtu kwenye jambo usilokuwa na yakini nalo kuwa amelifanya, Sisi hatumsingizii mtu tunafahamu kuwa kuna kadari za Mwenyezi Mungu lakini kwa wengine wao siku zote likiwafika wanajua lazima ni fulani pasina kupata ukweli.
 
Naomba hapo mjenge kanisa ndugu zangu wana Dodoma. Kwa hakika nawaambia YESU kristo ndio njia pekee ya kuuona ufalme wa mbinguni. Muiteni naye atawaitikia,Msichelewe nyakati ndio hizi sasa
Mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom