Kuna kipindi kinaendelea live star tv muda huu na mada ikiwa ni "kushuka kwa thamani ya shilingi".
Wageni waalikwa katika studio za star tv(wachambuzi) ni mchumi Donald Kasongi, akiwa anaongea katika studio za Mwanza na Zitto ambae atafuata kuongea akiwa studio za Dar-es-salaam.
Ni fursa nyingine kupima kauli za mwanasiasa huyu kwenye uchumi.
zito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
zito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
Bila shaka ni hazina ya Mama yakoHuyu kijana,ni hazina kwa taifa kizuri ni kwamba anazungumza issues tu.
Huyu kijana,ni hazina kwa taifa kizuri ni kwamba anazungumza issues tu.
Zito, kichwa cha taifa ana nafasi yake katika taifa
Hakuna mtu wa kumsikiliza msaliti na mpenda madaraka kama zzk
akikubali kukufuata wewe basi atakuwa mjinga mkubwa mnoMAHORO
acha kujiweka vumbi machoni badala ya Dawa.
Sio busara kwako kujigeuza akili na kujigeuza kupinga pinga tu.
Hizo takwimu umezpata wapi? Ccm plus act sawa na bureeeeHili ndiyo tatizo la pro CDM kulazimisha kila mtu afikiri kama wao, kwamba wao wasipomsikiliza ZZK watanzania wengine nao wabadilishe channel.
Tanzania inayokadiriwa kuwa na wapiga kura zaidi ya 24m, wafikiri kama pro CDM, really!!!!!
zito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
zito anaeleza vizuri kuliko mkuya na prof ndulu.
heko zitto kama mchumi.
Hizo takwimu umezpata wapi? Ccm plus act sawa na bureeee
Watanzania wamekuwa werevu mno miaka hii. Tapeli anajulikana mapema kabla jua halijachomoza.
Zitto na utapeli wake hataweza kutapeli watanzania
Huyu kijana,ni hazina kwa taifa kizuri ni kwamba anazungumza issues tu.
Na hakuna atakaye kulaumu kwa msimamo wako sababu ndo uwezo wako wa kufikiri ulipokomea. Udhaifu wa report ya PAC kuhusu sakata la escrow hauwezi kuhafifisha umakini wa ZZK katika masuala ya uchumi.Siwezi kumsikiliza Zitto,nimemshusha thamani tangu siku ile ya ripoti yake ya escrow iliyolenga kuwalinda wezi halisi wa escrow na kuwachafua wengine wasiohusika.hana cha maana cha kujadili nikamsikiliza huyu mnafiki mlinda mafisadi.