Msikilizeni Zitto Star TV

Mpaka mjadala wenyewe unapoteza mwelekeo, kuna watu humu hata Mungu wanaweza kumwita shetani kama maslahi ya bwana zao yameguswa..

Mkuuu hii chuki sio bure nahisi km watu wamechkuliwa wake zao na zzk sallaale
 
Huyu Zitto kujua anajua na anaelewa tatizo ni MSALITI na sijui atabadili vipi hii kashfa kutokea chafu hadi safi

Angalau wewe umeonyesha uhalisia kwa kukubali hilo la kwanza,wenzako hata hilo hawataki wanakwambia Zitto box tu hajui chochote.
 
kama kawa jisukule la mbowe at work. jianaume zima linafanya kazi ya kulamba miguu ya mwanaume mwengine. mwanaume hatakiwi kuwa laini kiasi hicho.
wewe umelamba ya mwanamke?Siku hizi ayatoullah ni mwanamke au jinsia ya tatu?
 
Labda wewe ndio hujui kuwa shilingi haijashuka kwa currency zingine zaidi ya dola Ebu tuwekee hapa hizo rate za Euro na Pound unazosema zimepanda nazo kwa kasi
nikupe hala ya kenya..nilikuwa nanunua kati ya 17-18tsh ,na kule nairobi ndipo nilikuwa nanunua 20,kwa vile bureau nyingi na bank hazina tsh...Ila sasa Ninanua tz tuu ksh 1-22tsh....
 
Mkuu Nicholas upoo!!
nipo ..namsikiliza jamaa akiburuza wapuuzi wa star TV..waandishi wa star Tv ni washamba mbaya aisee..wao ni kujibrash tuu saluni na kukaa mikao ya kujistukia.Maswali yao ya hovyo,halafu wanatoka nje ya control haraka sana.Yaani wanakubali kuambia INABIDI MUONGEZE MUDA?Halafu mtu anachoongea haongei kuhusu wizi, na hela za nchi nyingine..as if hajui kwamba si dollar tuu?Bado mwandishi anaweza mbwembwe kwamba watamhitaji next time ...?
 
Zitto Kabwe ni kati ya vijana muhimu kwa ustawi wa jamii yetu,tuseme kweli kwa maslahi ya Taifa na sio maslahi ya viongozi wa Chama.
 

You ain't shit hater
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…