Msikilize Mwana Diaspora Huyu. Asema Mazito na Ya Msingi Kuhusu Diaspora Watanzania

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,504
113,618
Wanabodi,



Katika kuelekea Kongamano la 4 la Diaspora, litakalofanyika Zanzibar tarehe 23 na 24 ya huu, naomba umsikilize kwa makini Mwana Diaspora huyu. Huyu ni Mmoja wa ma Diaspora wa Tanzania, Dr. Hildebrand Shayo, aliyesomea Tanzania tangu shule ya Msingi, sekondari, degree ya kwanza na masters amesomea UDSM, ndipo akaenda nchini Uingereza kufanya Ph.D, baada ya hapo, akafanya kazi Uingereza kwa miaka 10, kisha akaamua kurudi nyumbani. Msikilize hoja zake za msingi sana kuhusu Diaspora wa Tanzania.

Paskali
 
Si nyie juzi kati mmlisema waliokana uraia na wanyang'anywe wanavyo vimiliki Tanzania ? Lukuvi,unataka kuingiza watu chaka? Hampati mtu hapo ! Kuna waliokuja kuwekeza wakasumbuliwa na kudaiwa rushwa wakakata tamaa.tatizo ccm hamuaminiki ! Leo mtawaita kesho mtawageuka na wengine mtawatosa ruvu ! Nakuwaita haramu.hamna muamana nyie kijani.zakuambiwa wawekeze na zakwao za kichwani.ccm sio yakuamini hata ikiwa kaburini.nimiongo sana hii midude !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nyie juzi kati mmlisema waliokana uraia na wanyang'anywe wanavyo vimiliki Tanzania ? Lukuvi,unataka kuingiza watu chaka? Hampati mtu hapo ! Kuna waliokuja kuwekeza wakasumbuliwa na kudaiwa rushwa wakakata tamaa.tatizo ccm hamuaminiki ! Leo mtawaita kesho mtawageuka na wengine mtawatosa ruvu ! Nakuwaita haramu.hamna muamana nyie kijani.zakuambiwa wawekeze na zakwao za kichwani.ccm sio yakuamini hata ikiwa kaburini.nimiongo sana hii midude !

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point Joyce Hawa watu ccm sio wakuwaamini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diaspora wana watu makini sana, Mzee Mwanakijiji na Jonathan Mashaka, hawa jamaa wawili ikiwa serikali itarudisha vijana wake kujenga nchi, serikali iwaangalie kwa macho manne
 
Si nyie juzi kati mmlisema waliokana uraia na wanyang'anywe wanavyo vimiliki Tanzania ? Lukuvi,unataka kuingiza watu chaka? Hampati mtu hapo ! Kuna waliokuja kuwekeza wakasumbuliwa na kudaiwa rushwa wakakata tamaa.tatizo ccm hamuaminiki ! Leo mtawaita kesho mtawageuka na wengine mtawatosa ruvu ! Nakuwaita haramu.hamna muamana nyie kijani.zakuambiwa wawekeze na zakwao za kichwani.ccm sio yakuamini hata ikiwa kaburini.nimiongo sana hii midude !

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo upo ndani ya damu yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla - video nzuri sana- Ila inawapasa kuongea bila kumung'unya maneno kuhusu utayari wa serikali hii na Diaspora ambao wamechukua uraia wa nje au wamezaliwa nje - Kuna zoezi linaendelea la kuwanyang'anya ardhi na mali kwa kigezo cha wao kuwa raia wa nje- Kuna mixed languages zinatumwa na serikali -Serikali ya JK ilikuwa iki engage na diaspora na kutumia kauli Don't tell Don't ask while fixing the problems- Sasa kama Serikali haitaki Diaspora waliobadili uraia iseme wazi.

Dr Hildebrand Shayo anaonekana hajui maana ya Diaspora anaongelea mambo ambayo sio ya kisheria kabisa- Tanzania sio nchi ya kwanza kuwa na Dual Citizen - Ukitumia mifano mfu inasikitisha sana -
 
Pascal wanaohitaji uraia pacha ni watanzania ambao Tayari wana Uraia wa nje sio watanzania wote wanaoishi nje wanahitaji Uraia pacha - Kuna ambao wameweza kutunza Uraia wao kutokana na nchi wanazoishi - Kuna nchi kuwa Raia sio mapenzi yako as far unataka kuishi na kufanya kazi huna jinsi
 
Mon, August 21, 2017 | 11:55




S. Korea to allow dual citizenship from January
Posted : 2010-12-23 19:21
Updated : 2010-12-23 19:21









btn_listen_logo1.png


By Kim Rahn

Starting January, Koreans residing overseas, talented foreign nationals and foreign residents married to Koreans will be allowed to hold dual citizenship under certain conditions.

The revised law on nationality — designed to prevent a brain drain, bring in talented foreigners and fight the low birthrate — will take effect on Jan. 1, the Ministry of Justice said Thursday.

Under the revised law, Koreans who obtained dual citizenship at birth will be permitted to maintain the two nationalities, if they take an oath not to exercise their right as a foreign national while staying here.

This measure is to prevent dual citizenship holders from taking advantage of a foreign national’s right to avoid laws applied only to Korean nationals.

Such people include those who were born in foreign countries when their parents were working or studying there and those born to multicultural families in Korea.

They have to take the oath before turning 22 years old. Under the current law, their Korean citizenship is automatically forfeited if they don’t choose one of the nationalities by 22 years of age.

However, the privilege will not be granted to “anchor babies,” whose mothers give birth in a country offering birthright citizenship — such babies will get Korean nationality only when they renounce the foreign one. Young men who are subject to military service will be eligible for dual citizenship only when they fulfill their duties.

Talented foreigners who may contribute to Korea’s development will be able to gain Korean citizenship without giving up their own regardless of the length of their stay in Korea. Currently, naturalization is allowed only to those who have stayed here for five years or longer or those who are married to Korean nationals and have lived here for at least two years.

Overseas Koreans over 65 years old who come back to Korea to live here permanently can also hold dual citizenship if they take the oath.

The new law will also permit foreigners who obtain Korean nationality to renounce their foreign citizenship within a year — a six-month extension from the current six months.

Currently, such foreigners lose their Korean citizenship if they don’t give up their foreign nationality within six months, and many have lost it because they failed to carry out the related process within the short period.

A new clause will also be introduced to divest dual nationality holders of Korean citizenship — a countermeasure to minimize side effects of the dual citizenship system. These people will be deprived of Korean nationality if they act against the national interest with regard to the economy, national security and diplomatic relations, or seriously disturb public order.
 
Chanzo kikubwa cha fedha kwa diaspora ni retirement - Diaspora wenye uraia wa nchi Tajiri duniani huwa wanapata a good retirement money - Watanzania wengi na watoto wao wakiwa taped mapema wakakubali kurudi ku staafia nyumbani watakuja na fedha nyingi sana wakati wamestaafu- Fedha hizi zitakuwa foreign income kwa nchi- Wataajiri watu mbali mbali ili kuendesha maisha yao. Wenzetu wanaingiza fedha nyingi sana kwa kutumia watu wao. Sisi bado tunapiga vuvuzela- Kenya wanawabembeleza Watanzania wachukue Uraia wa nchi yao waliopo nje - vilevile Rwanda - wanajua vijicent watakavyokuwa navyo wakitumia wakati wa uzee ni kipato cha nchi zao.

Inashangaza sana Mtanzani aliyeishi nje kuogopa mandingo eti sababu za kiusalama - hivi mtanzania gani ni threat kwa nchi ? Kama kweli hizi nchi za kibepari zinataka kitu Tanzania nani anaweza kuzizuia? Kwani nani alikuwa anaishi nje wakati mkoloni anakuja na kutubeba kama mbuzi huku waliobaki wakilimishwa kwa ajili ya kuwatajirisha wakoloni?

Tusijenge woga usiokuwepo, beberu yeyote anayeitaka Tanzania hana muda wa kuhangaika na diaspora wanoatweta jasho kujipatia riziki- Ushahidi unaonyesha waliouza nchi wengi hawajahi hata kuishi Burundi wote wapo hapa hapa nchini. Tusiwaone Diaspora kama adui.

Leo Tanzania kuna waingereza, wamarekani, wajerumani kibao ambao wamepata uraia wa Tanzania - Nchi hizoz na nyingine nyingi ukipata uraia wa nchi nyingine hupotezi uraia asili wa kwao- Myahudi hata kizazi cha kumi ni Myahudi - sasa kama kuna Raia wa Tanzania kibao ambao Tayari ni raia wa nje - walichokifanya wao wamepata Uraia wa Tanzania kwa kukuomba, kuoa, kuishi muda mrefu Tanzania etc - Kama kweli mataifa ya nje yanashida na Tanzania wana njia nyingi kupenyeza.Diaspora wasitumike kama sababu mfu eti ya ulinzi.

Ukweli ni kwamba sababu za kisiasa na wivu wa maendeleo ndio chanzo cha watu kuwaona Diaspora wasipewe Dual

Unaweza kutoa Dual na masharti - mfano wasiwe wanasiasa - najua hilo ndilo ndilo linawasumbua wengi - na wasifanye kazi serikali - Kama Diaspora watapewa Dual na restriction ya kutogombea nafasi za kisiasa na kutokufanya kazi serikali - nafikiri sababu yao ya usalama itakuwa imekufa.

Leo makampuni ya nje yakija kufanya kazi Tanzania yanakuja na watu wao kibao-

Ila Mtanzania aliyezaliwa namtombo au Chala anaonekana ni Threat akija kuishi au kufanya biashara au kazi.

Inakuwaje Nchi inayoruhusu wageni kuja kuwekeza tena mikataba ya zaidi ya miaka 60 iogope mtu aliyezaliwa Chato kisa ana uraia wa Burundi au Austria?
 
Ahsante Pasco kwa kuwakilisha JF na maoni timilifu

Nikupongeze kwa kuweka sawa mkanganyiko wa baadhi ya watu kuhusu uraia pacha na ukazi wa kudumu.
 
Back
Top Bottom