watakemeaje?sasa ni sawwa uanike shat yako kambani halafu ulinyatie wewe mwenyewe i dont trust this dude along with his one and only son pamoja na papaa mulumba kubwa jingaInakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Mbona hutaji chademaInakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
kaka fanya yako mkuu, achana nao, fanya yako maisha yaendeInakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Mbona hutaji chadema
CCM ndo kulaumu
Acha izo
hahahahahahaAliyekwambia maisha yangu hayaendi nani? Hebu acha hizo za kudhani mambo ambayo huyajui.
anazungumza wazi kabisa jinsi ambayo ushirikiano ulivyo kuwa mbovu wa serikali baada ya tukio
Na kuona kama hakikutokea kitu chochote