Msikilize Fatma Karume

Msikilize Fatma Karume

anazungumza wazi kabisa jinsi ambayo ushirikiano ulivyo kuwa mbovu wa serikali baada ya tukio
Na kuona kama hakikutokea kitu chochote
Kwani kumetokea nini...maana wengine hatujui.
 
Inakuwaje hadi hii leo Magufuli, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu hawajakemea huu mlipuko wa hii ofisi ya hawa Wanasheria? Hivi ingekuwa imelipuliwa ofisi ya CCM jijini hawa watu wangekaa kimya kwa muda wote huu? KULIKONI!!?
Ingekua CCM, Magufuli angelifanya kua swalanla kitaifa. Angetangaza kuwepo uzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yeye na wenzake wa upinzani haswa viongozi wa Chadema..hata yule mwenzake patina wake.. hawakukemea ya Kibiti na hawakemei mengine mengi!?
Hili ni kiwango cha juu kabisa cha ujinga wa watanzania wengi na weredi wa juu ktk umbumbumbu.....

-Domhome-
 
Yaani hata pole ya kinafiki wameshindwa kutoa. Kivuli cha Sizonje kinaogopwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom