Akubali kushaurika,asitishe tishe watu,watu watashindwa kufanya nae kazi,atabaki mwenyew
Hapo hiyo issue ya TANESCO options ni chache tu wananchi tuongezewe bei ya unit kufidia au umeme ushushwe bei kwa mzalishaji anaewauzia tanesco au mkataba uvunjwe au tuachane na huyo muuzaji nk...kweli kazi ya kuiongoza tanzania sio nyepesi!
Mkuu ukimsikiliza CAG vizuri ni kama ametoa suluhu katika hilo.Hapo hiyo issue ya TANESCO options ni chache tu wananchi tuongezewe bei ya unit kufidia au umeme ushushwe bei kwa mzalishaji anaewauzia tanesco au mkataba uvunjwe au tuachane na huyo muuzaji nk...kweli kazi ya kuiongoza tanzania sio nyepesi!
Nadhani mambo ya kutoana kishkaji ndio yanatufikisha hapa no wonder tanesco wana underperformHawa wanaosaini mkataba wa kununua umeme kwa bei kubwa namna hii (T sh 544.00 biy ya kuuza T sh 279.00) sijui huwa wanawaza nini jamani!? Hivi huwa wanajua hawa bei ambayo TANESCO inauza umeme wake kwa wateja wake? Ni kitu cha kushangaza sana.
Sikumsikiliza mkuu anatoa mbadala ganiMkuu ukimsikiliza CAG vizuri ni kama ametoa suluhu katika hilo.
Rais toka namjuwa namuunga Mkono kwa hili la Bandari tu.....ila ukurupukaji ni jambo baya sana likifanywa na mtu ambae ndio mtoa Maamuzi ya mwisho.
Nirudi kwenye Mada....kama Rais Ameshindwa kumwajibisha bashite sitegemei chochote toka kwake
Mkuu inahitajika unyenyekevu na ujasiri wa hali ya juu sana, kumuua mbu anayenyonya damu kwenye ngozi ya korodani, pengine unaweza kujikuta unakosa hata maamuzi ya kumfukuza ukajikuta unamuacha huku ukigugumia maumivu.Hili la Bashite nalo linamchafua sana. Sijui kwanini hataki kuliona hili ili akamalizana nalo once and for all.
Mkuu kama wakithubutu kufata ushauri wa CAG wakaongeza na ujuzi wao basi nafikiri tatizo au muarobaini wa umeme kukatika litakiwa limetatuliwa kama sio kumalizika.Hivi kwa nini tanesco wasiwekeze kwenye solar farms ili kupata umeme wa jua ambao ni very cheap? Pia kuna wind farms ambapo nchi nyingi zilizoendelea zinazalisha umeme kwa gharama nafuu pia bila kuathiri mazingira.
Serikali inatakiwa iruhusu wazalishaji umeme wadogo wazalishe umeme na kuuza directly kwa wateja ila kuwa na tight regulations kwenye bei ili ziendane na za tanesco au ziwe cheap zaidi. Hii itasaidia sana kuongeza uzalishaji wa umeme na kuwafikia watu wengi zaidi kwa muda mfupi.
Mkuu inahitajika unyenyekevu na ujasiri wa hali ya juu sana, kumuua mbu anayenyonya damu kwenye ngozi ya korodani, pengine unaweza kujikuta unakosa hata maamuzi ya kumfukuza ukajikuta unamuacha huku ukigugumia maumivu.
Tuvute subra kwanza mkuu, maana mbwa akiwa na kichaa kumtabiri atakuuma au hatokuuma muda gani huwa ni ngumu sana.Kwa mabadiliko haya shukran zmuendee ndg Emanuel elbarik almaarufu kama nay wa mitego nadhan Ujumbe mkuu umemfikia mana c kwa mabadiliko ya ghafla HV..
Ni kweli kabisa, zama za kuwa na monopoly katika utoaji wa huduma na mashirika ya serikali zimepitwa na wakati. Competition ina boresha huduma na pia kusaidia kushusha bei.Mkuu kama wakithubutu kufata ushauri wa CAG wakaongeza na ujuzi wao basi nafikiri tatizo au muarobaini wa umeme kukatika litakiwa limetatuliwa kama sio kumalizika.
Jamaa kafafanua kwa ustadi sana.
Mkuu herufi zangu zilihusiana na maamuzi juu ya Bashite, hili la Tanesco ni Kupe au "sundo" kabisa sio mbu, kwa hiyo inahitajika kumngoa na kumsigina.Nakuelewa Mkuu lakini haya ni maumivu makubwa sana ambayo yanaitafuna TANESCO na Tanzania taratibu. Ni lazima tu itafutwe jinsi ya kuachana na maumivu haya makubwa.
Mkuu wanaweza kuja na majibu sahihi ila wakaja na majibu tofauti yanayotakiwa.Hii ya kuunda timu tatu za uchunguzi na moja haijulikan nimeikubali,
Yaani hapo lazima woote waje na jibu sahihi kbs, otherwise anatumbuliwa mtu hapo