Hii inchi kuna mambo mambo ukiyasika unaweza kujificha ndani na husitoke kabisa mpaka kifo kikukute.
Inchi ? = Nchi√Hii inchi kuna mambo mambo ukiyasika unaweza kujificha ndani na husitoke kabisa mpaka kifo kikukute.
Nimependa sana hii kitu. Kuna vyingi sana baadhi ya viongozi wetu mpaka raia wa kawaida na wasomi wetu tukajifumza kitu kupitia kwake. Kwanza inaonesha yupo makini sana na kazi yake, pia anfanya presentation ya kuvutia kuendelea kumsikiliza jinsi anavyochambua taarifa zake.CAG Prof. Mussa J. Assad ameongea kama mtaalamu anayejiamini kuhusu majukumu yake na ripoti yake kwa ufupi mbele ya Mh. Rais John Pombe Magufuli ambaye ameonesha ameguswa.
Viongozi wengine waache uoga maana Mh. Rais leo ''amebadilika'' ameaanza kusikiliza maoni ya wataalamu, sijui ni nini kimetokea hadi Rais kuonesha ''kuguswa''. Ila ni mategemeo Mh. Rais ataendelea na hali hii ya ''mabadiliko na kuguswa'' ili kupata nafasi kusikiliza maoni ya wataalamu na wananchi wa kawaida kwa faida ya taifa.
Nashukuru mwalimu kwa kuniweka sawa, ila sehemu nyingine ni hivi vibonyezeo vya hii simu tanashati.Inchi ? = Nchi√
Husitoke ? =usitoke √
Adhina?= hazina√Nimependa sana hii kitu. Kuna vyingi sana baadhi ya viongozi wetu mpaka raia wa kawaida na wasomi wetu tukajifumza kitu kupitia kwake. Kwanza inaonesha yupo makini sana na kazi yake, pia anfanya presentation ya kuvutia kuendelea kumsikiliza jinsi anavyochambua taarifa zake.
Ni adhina ya kipekee katika taifa. Naomba Mungu hasije alibiwa na wana siasa.
Nafikiri katia ya vitu vilivyobadili ghafla furaha ya Rais ni hiyo taarifa, kwani wakati anapokea ripoti na alivyokuwa anaongea baada ya kupokea ripoti kuna furaha/tabasamu mbili tofauti kabisa.Huyo raisi wenu nsikivu na mchukia rushwa,muulizeni kashifa ya Lugumi vipi? Au kumtoa uwaziri Kitwanga ndio basi mambo mswano?!
Tanesco kununua umeme kwa shs 500 na kuuza jwa sha 270 kwani hajui?
CAG Prof. Mussa J. Assad ameongea kama mtaalamu anayejiamini kuhusu majukumu yake na ripoti yake kwa ufupi mbele ya Mh. Rais John Pombe Magufuli ambaye ameonesha ameguswa.
Viongozi wengine waache uoga maana Mh. Rais leo ''amebadilika'' ameaanza kusikiliza maoni ya wataalamu, sijui ni nini kimetokea hadi Rais kuonesha ''kuguswa''. Ila ni mategemeo Mh. Rais ataendelea na hali hii ya ''mabadiliko na kuguswa'' ili kupata nafasi kusikiliza maoni ya wataalamu na wananchi wa kawaida kwa faida ya taifa.
Inasikitisha sana kusikia wanakubali kusaini kununua umeme kwa bei kubwa kiasi hicho huku wao wakiuza kwa hasara ya shilingi 265 kwa kila unit! Hii ni hasara kubwa sana.
Sema kuna kitu nime notice haraka, Prezoo ni kama mtu ambaye hapendi au hayupo tayari kuoneshwa kwa madhaifu ya serikali yake. Na hili utagundua pale CAG aliposema Tanesco inanunua umeme kwa 500 inauza kwa 270, jamaa ni kama alichange ghafla kusikia hicho kitu na furaha ikapungua.Ushauri mzuri huo unatakiwa kufanyiwa kazi na matokeo yake yaonekane kupitia utekelezaji utakaoenda sambamba na kuyashughulikia hayo mapungufu.
Staili hii ya Uongozi inatakiwa JPM aikubali na awe anaitumia kwenye kila sekta ili kutumiza kirahisi ahadi zake kwa watanzania. Na pia itaondoa ile dhana iliyojengeka ndani ya Jamii kuwa Rais hasikilizi Ushauri wa Wataalam wake.
Husisha taarifa hii na mjadala na maamuzi kuhusu PAP/IPTL ndiyo ujue kuna viongozi wa aina gani kuanzia serikalini, bungeni na mahakamani.
Inabidi akubali ukweli hata kama ni mchungu.Sema kuna kitu nime notice haraka, Prezoo ni kama mtu ambaye hapendi au hayupo tayari kuoneshwa kwa madhaifu ya serikali yake. Na hili utagundua pale CAG aliposema Tanesco inanunua umeme kwa 500 inauza kwa 270, jamaa ni kama alichange ghafla kusikia hicho kitu na furaha ikapungua.
Natamani Rais atoe ruksa wananchi walau tuone bunge la Bajeti hii tu, hayo mengine yatakayo fuata hata akibana sawa, maana alikwisha hamua.Husisha taarifa hii na mjadala na maamuzi kuhusu PAP/IPTL ndiyo ujue kuna viongozi wa aina gani kuanzia serikalini, bungeni na mahakamani.