#‎BRAZUKA‬ Wiki moja ina siku 7,
Shule ya msingi madarasa 7,
Huu ni mwezi wa 7,
Tupo msim wa sabasaba
Brazil wamefungwa 7
Game imeisha saa 7
Mathayo 7:1 Inasema "na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande saba vya mkate ili mgeni apewe kimoja,kwa maaana bwana anataka tuwe wakarimu kwa wageni"..