Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

Msigwa umechemka kumsifia Kikwete

Akichangia bungeni alitamka bila kuficha awamu hii ya tano inataka kuminya uhuru wa habari wakati awamu ya nne ilikuwa jasiri na kurusha live bunge tunamkumbuka jk kwa kuwa jasiri wa uhuru wa habari.....

Ilibidi nicheke....leo mnamkumbuka tena. Wakati jamaa alikuwa anawasigina mkatoka bungeni kila uchwao. Msigwa uwe na msimamo
Nadhani wewe ndio unatakiwa kupimwa uwezo wako wa uelewa hebu soma vizuri msigwa amemsifia jk kwenye lipi? Halafu na wewe pia utafakari kama kweli hilo alilo msifia halikiwepo. Msiwe watu wa kutafuta chakisema hata kama hakipo, ni bora wakati mwingine mkakaa kimya
 
Ok, sikusikia aliongea nini. Ila kama kalinganisha kitu kimoja tu cha bunge kuoneshwa live hapo hajakosea.
Makamanda JK hagombei tena urais pambaneni na tingatinga Magufuli.

JK, sasa hivi ana deal na issues za kimataifa kutatua migogoro.

Mnamkubuka JK Ahahhahahahaha!!!
Na wala hakuna wa ku-deal nae. Ahamie huko huko ughaibuni ndio itakuwa vizuri zaidi. Kitu cha maana sana ni kumkabidhi mheshimiwa sana Magufuli uenyeketi ili awe na uhuru mpana wa kuendesha Tanzania. Aliichafua sana hii nchi kwa ''uongozi mlegezo'' wake
 
Nani fast jet?
 
Hivi upinzani msimamo wao ni upi? Kuanza kumkumbuka Kikwete mapema hivi ni kujichimbia kaburi.

Msigwa kuanza kumsifia Kikwete bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya Magufuli. Mnashindwa kujenga hoja, mangapi Kikwete mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha CCM watuongoze tu

Ukweli unatabia moja,haufi!

"Mimi nasikitishwa na jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefika hapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.” Mnyika (2012)

Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia JK lakini kwa jinsi walivyomkataa JK leo wanamkumbuka. Ni unafiki.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
 
Akichangia bungeni alitamka bila kuficha awamu hii ya tano inataka kuminya uhuru wa habari wakati awamu ya nne ilikuwa jasiri na kurusha live bunge tunamkumbuka jk kwa kuwa jasiri wa uhuru wa habari.....

Ilibidi nicheke....leo mnamkumbuka tena. Wakati jamaa alikuwa anawasigina mkatoka bungeni kila uchwao. Msigwa uwe na msimamo
Bunge kurushwa live na wabunge kutolewa bungeni ni vitu viwili tofauti. Lakini la ajabu wewe huoni tofauti na ''unacheka'' anayeona tofauti! Utachekwa!!!
 
Bunge kurushwa live na wabunge kutolewa bungeni ni vitu viwili tofauti. Lakini la ajabu wewe huoni tofauti na ''unacheka'' anayeona tofauti! Utachekwa!!!
Me sijakataa bunge kuoneshwa live .....lakini upinzani wajenge hoja bila kuanza kukumbuka na kulilia. Siku zote hoja hushinda badala ya kuanza kulia lia
 
So JK hana jema kwako? hizi dini zingine bwana , wacha zife tu hazina faida yoyote duniani zaidi ya kuwapa chuki tu wanadamu, tangu kipigo cha 2010 pamoja na waraka mliotoa bado akili zenu kwa JK hazijakaa vzr
 
Me sijakataa bunge kuoneshwa live .....lakini upinzani wajenge hoja bila kuanza kukumbuka na kulilia. Siku zote hoja hushinda badala ya kuanza kulia lia
Ku-mention kuhusu awamu ya nne sio ''kulialia'' bali ndio kujenga hoja kwenyewe. Historia inatupa hali halisi ya tulikotoka ili tuweze kupanga vizuri zaidi kuhusu tunakokwenda.
 
Kwani mbona huyu alikotoka alifanya yote mazuri na mbona mnamsifia kila kukicha. Si mitumbwi na vibanda havikukaa sawa na deni la mtumbwi na kitoweo chake linatakiwa lilipwe na nyie watoa misifa
 
The way msigwa alivyowakilisha hoja yake. Bunge kuonyeshwa live mhm kwa taifa lakini kama wapinzani wawe ba msimamo bhana. Kipindi kile jk walimfanyia timbwili sana tu
 
Hivi upinzani msimamo wao ni upi? Kuanza kumkumbuka Kikwete mapema hivi ni kujichimbia kaburi.

Msigwa kuanza kumsifia Kikwete bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya Magufuli. Mnashindwa kujenga hoja, mangapi Kikwete mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna msimamo. Acha CCM watuongoze tu

Ukweli unatabia moja,haufi!

"Mimi nasikitishwa na jambo moja, tumefika hapa kutokana udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge na tumefika hapa kutokana na upuuzi wa CCM, nasema hivi nina ushahidi.” Mnyika (2012)

Ni kweli si dhambi kuanza kumsifia JK lakini kwa jinsi walivyomkataa JK leo wanamkumbuka. Ni unafiki.
HATA MM NASHTUKA KUNA MASLAHI AWAYAONI TENA MBELENI WANANZA KUMKUMBUKA JK ALIWAACHIA KILA KONA MTAITIKIAA ABEEE KILA KONA HUYUNDIE MWANA KUTOKA KWAMUNGU
 
Akili ni nywele. Niliachana na CHADEMA baada ya kumuuondoa ZZK kwa kumpakazia kwenye mitandao na magazeti ya Kubenea.

Tangu kipindi hicho, sijawahi kaa kufikiria CHADEMA ingawa nimeichangia maranyingi kupitia jamaa zangu waliobaki huko.
Gaza..Akili za kwako ndiyo nyingi nchi hii ndiyo maana hatutakaa tuendelee. Yaani unaacha mada mahususi unakimbilia kuandika utumbo uliooza.
 
Back
Top Bottom