Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,359
- 14,734
Kisa uenyekiti wa nyasa..?Mbowe na Sugu.
Kumbe sasa msigwa yupo kimaslahi
Kisa uenyekiti wa nyasa..?Mbowe na Sugu.
Nakuunga mkono 100% . Kwa hali ya siasa za sasa za nchi hii ( kutekwa , kuuwawa, kufilisiwa , kufungwa na kuumizwa ) lakini ukiona bado kuna mwanasisa anakuja CHADEMA basi ni shujaa haswa . Na apewe heshima sana . Mfno Msigwa ni shujaa sana . Dam za wa Tanzania na Laana haiwezi kupataWala Msigwa asilaumiwe kuwa mpinzani Tanzania unapaswa kuwa na Roho ngumu sana na ikiwezekana uwe na vyanzo vya siri vya kukuingia mapato la sivyo unakufa njaa ndiyo maana hata CVID 19 mimi siwalaumu kabisa na wakimaliza mda wao wa ubunge wakitaka kurudi waruhusiwe kwani pamoja walifanya makosa lakini hawakutoka nje ya misingi.
Vp kama ndo katumwa na CCMNakuunga mkono 100% . Kwa hali ya siasa za sasa za nchi hii ( kutekwa , kuuwawa, kufilisiwa , kufungwa na kuumizwa ) lakini ukiona bado kuna mwanasisa anakuja CHADEMA basi ni shujaa haswa . Na apewe heshima sana . Mfno Msigwa ni shujaa sana . Dam za wa Tanzania na Laana haiwezi kupata
Msigwa sio wa kutumika ki hivyo jamani . Yule mtu anahofu na Mungu hawezi kufanya huo upumbavuVp kama ndo katumwa na CCM
Makubwa!Msigwa sio wa kutumika ki hivyo jamani . Yule mtu anahofu na Mungu hawezi kufanya huo upumbavu
SawaWamuache apumzike kidogo, kichwa kinaupungufu wa GB
Haswaaa.Yeyote aliyekusaliti wakati wa Vita ni adui wa maisha hapa ndio mimi na chadema tunapokosana yeye alienda aende tu
Cocastic upo!Haswaaa.
NipooCocastic upo!
Ni kweliMchakato wa Katiba Mpya ulikuwa unakwamishwa na baadhi ya Viongozi wa CHADEMA lakini amelijua hilo baada ya kujiunga na CCM.
Msigwa ni mjanja Sana, alifanya jambo zuri ambalo ukiwa poyoyo huwezi kumwelewa, connect dots alihama kipindi ganiAmerudi tena kwenye ujinga wake.
Covid19 ukiwalaum utakuwa unawaonea Tu, kipindi kile magu hakuwa anatania, akina Lissu walipona Tu sababu Wana connection ulayaWala Msigwa asilaumiwe kuwa mpinzani Tanzania unapaswa kuwa na Roho ngumu sana na ikiwezekana uwe na vyanzo vya siri vya kukuingia mapato la sivyo unakufa njaa ndiyo maana hata CVID 19 mimi siwalaumu kabisa na wakimaliza mda wao wa ubunge wakitaka kurudi waruhusiwe kwani pamoja walifanya makosa lakini hawakutoka nje ya misingi.
Kimya sana jamaniNipoo