Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Kwa mara ya kwanza, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amefunguka kuhusu sababu ya mtandao wa kijamii X (zamani Twitter) kutopatikana nchini Tanzania.
"X tumejadiliana nao sana juu ya mtindo wao wa kuruhusu maudhui yasiyofaa kurushwa katika anga letu, baada ya mazungumzo ya muda mrefu hatukuelewana, tumeamua kuzima katika anga letu. Wameweka vitu ambavyo vinaruhusu kutengeneza maudhui ya kudhalilisha watu kwenye jukwaa lao, tumejitahidi kuwaambia hili hatukubaliani nalo hawakutusikiliza"