Msigwa kukamatwa baada ya sherehe ya mwenge

Hapa Mutwa Inabidi Ni Fanye Jambo, Hawauheshimu Mwitu Kila Kitu Bla Blaa. Nitawatoa Kilindo Ivaha, Nitaomba Na Warugaluga Wa Rafiki Yangu, Heshima Lazima Iwepo!
 
Wanaweweseka Mkuu wanajua CHADEMA imewashika pabaya, juhudi zao zote za kuisambaratisha ikiwemo kutengeneza ushahidi fake wa ugaidi uliofanywa na gaidi mwigulu na propaganda chungu nzima zimegonga ukuta.

 
Hivi Mwenge upo chini ya wizara gani? na Je mwenge huwa unapangiwa bajeti kila mwaka?



[h=5]Peter Msigwa[/h]

· 66 Mutual Friends







Bunge la bajeti liliopita wabunge wa CCM walisema NDIO ,kuashiria wanaiunga mkono hiyo bajeti, kwa maana walikubali Kuwa bajeti hiyo inakidhi mahutaji ya elimu, kilimo,afya mbio za mwenge nk. Kwa mifano bajeti ya mwenge ilipitishwa 259,536,000,... Iweje Leo wanawachangisha wananchi ,maswala ya elimu na mbio za mwenge, ambazo kimsingi maudhui mazima ya mwenge yamepotea? MKAZI WA IRINGA HUNA SABABU YA KUCHANGIA MWENGE...badala yake lipia kodi ya mapato ,na mfuko wa elimu uliopitishwa kisheria yaani IMETF.


about 2 weeks ago · Iringa

 
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu akigomea shughuli za mwenge atakuwa kaivunja,
Hakuna mahakama ya duniani au mbinguni itakayomuhukumu binadamu yoyote atakaekataa kulipa ama kuhudhuria shughuli za mwenye wa tanzania.

Mwenge haupo kisheria wala kikatiba
 
Gerezani/Lupango/sero ni kama nyumba ndogo kwa kila mpigania Haki.Suala la kukamatwa au kutaka kukamatwa kwa wapigania haki kama MSIGWA cyo geni kwa African people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…