Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

U

Ungetulia na kusoma uliyemjibu nadhani ungemuelewa vizuri labda nikukumbushe alichoandika kwa uchache amesema huwezi tengeneze bila kusoma au kutazama ilani ya chama tawala
Ni kweli mkuu ndicho nilimaanisha.Asante kwa summary
 
Jitahidi kuwà mwelewa. Kumbe watu mu wajinga hiki?, Chadema wamezindua SERA na kuziweka hadharani watu wasome, na siyo ILANI.Kama kitu huelewi ni vema kudadisi na kujifunza
Nimechokonoa umetoka shimoni
Kwani chadema walikua hawatumii sera?
 
Jitahidi kuwà mwelewa. Kumbe watu mu wajinga hiki?, Chadema wamezindua SERA na kuziweka hadharani watu wasome, na siyo ILANI.Kama kitu huelewi ni vema kudadisi na kujifunza
wameweka hadharani wapi wewe acha uongo Tuwekee hapa kwa PDF kama unayo.Walichofanya wamepiga picha na kitabu walicholaghai waandishi wa habari kuwa kuwa kitabu cha sera .Baada ya kupigwa picha na waandishi wakatokomea gizani.Hawakuwapa hata nakala wakatoe photocopy.Cheki hapa wakilaghai kuzindua kitabu cha sera hewa.Cheki macho na midomo yao!!! unaona kabisa ni wasanii at work

1537937036137.png
 
Kila mtumishi wa uma anatakiwa awe na Ilani ya CCM? Mimi watanifukuza kazi saa mbili asubuhi haki ya mama
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ok.. Ndio kikichopo kwenye hicho kilichozinduliwa?

Mtapata tabu sana

Wewe ndiyo utapata tabu sana, kilichozungumziwa na Mchungaji Msigwa ni Ilani ya uchaguzi ya CCM wewe unarukia juu ya Uhuishaji wa Sera za Chadema, vitu viwili tofauti, utapata tabu sana na mapoyoyo wenzako hapo Lumumba.
 
Nadhani kuna shida ya kuelewa maana ya ilani na mpango mkakati. Uandikaji wa ilani unaangalia mambo mengi sana ikiwemo marejeo ya mikataba ya kimataifa, ya kimkoa(East Africa customs union), sera za nchi kama sera ya afya,sera ya madini n.k.Ilani pia inaanglia vipaumbele vya wananchi. Ilani inaweza kuondoa hata vision za nchi, mikataba ya kimataifa na hata baadhi ya sheria kama siyo vya manufaa kwa wananchi. Ilani ni bidhaa ya chama kwa kipindi husika na bidhaa hii inapelekwa sokoni kupitia kampeni. Wanachi wakiridhika na hii bidhaa wanainunua kwa kupitia sanduku la kura.
Wapiga kura wengi wanapiga kura kwa mkumbo tu na kudanganywa na propaganda za majukwaani na zawadi za kanga, T-shirt, kofia, pombe, fedha, n.k. Wapiga kura wengi ni wana uelewa mdogo wa mambo na huo ndio mtaji wa CCM.
 
Back
Top Bottom