SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Walikuwa wanazindua masaburi yako.Ona ujinga huu,! Kwa hiyo wao leo walikuwa wanazindua nini sasa,?
Walikuwa wanazindua masaburi yako.Ona ujinga huu,! Kwa hiyo wao leo walikuwa wanazindua nini sasa,?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ok.. Ndio kikichopo kwenye hicho kilichozinduliwa?Walikuwa wanazindua masaburi yako.
Sio kweli mipango huwa inakuwa reviewed kwanza Kila mwaka mfano umetengeneza mpango wa miaka mitano donor ka hi commit kuleta hela mwaka wa kwanza tu haleti pesa anasema mpaka ukubali ushoga Na usagaji ndio nikupe unagoma anasema basi sababu umegoma sikupi anarudi kufanya review.Mipango yetu ni rolling sio static Kila mwaka unafanya review.Mfano mpango ulisema Chadema watapewa ruzuku ya bilioni tatu Kila mwezi wakahama wote kuhamia CCM mwaka wa kwanza huwezi acha ule wa miaka mitano ubaki lazima ufanye review.Msigwa Na wewe mambo ya mipango kaeni mbali upeo wenu mdogo.Mleta mada Na log out sijadili tena.Niliyochangia yanatosha
Hivi daktari mtaalamu wa upasuaji anatazama ilani ya chama ili imwambie namana ya kupasua au utaalamu wake wa upasuaji ndio unamwongoza? Msituaminishe kwamba siasa za ilani ndio dira ya utaalamu/ Hiyo si kweli. Hata hao wanaoandaa ilani hudonoa tu kwenye mambo waliyoyapanga wataalamu na bahati mbaya hawawezi kuyaweka mambo yote ya kitaalamu kwenye ilani zao. Hata kama chama kina madaktari na maprofesa watakaoandaa ilani lakini hawatumii upenzi wao wa chama bali wanatumia utaalamu walionao ambao umepatikana kwa kusoma au kujifunza na siyo kwa sababu ni wana chama wa chama fulani. Bila utaalamu hakuna cha ilani wala siasa zitakazoleta maendeleo kwenye sekta za maendeleo. Labda kwenye propaganda za majukwaani.
Anaibeba kila mahali maana hiyo ilani kwake ni zaidi ya msaafu.ilani ya CCM hadhi yake ni sawa na vijarida vya ngono tu!! kuna mpuuzi mmoja anadhani ni sifa kuibeba kila sehemu.
Acha ku generalize wewe!...watanzania hataukiweka hela kwenye kitabu ukakiacha hapoo ...... hawatafungua kusomaa..
Ni njia ya kuonekana kwa malaika.Yule mvaa mashati yenye mifuko ya bendera anapaswa kubeba kitabu chenye mipango ya Taifa na sio ilani ya CCM.
Hii mijitu si kubwabwaja ujinga tu ili aonekane kaongea walahi!Kumbe Mch. Msigwa Mweupe Sana kichwani
Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano unatengenezwa Kwa kutumia Ilani ya chama kilichoshika dola
Ndani ya Mpango ule wa Miaka mitano ukishauandaa ndio unazalisha Bajeti ya Mwaka mmoja mmoja ( Annual budget )
Sasa ukisema hutaki Ilani ya CCM Ila unataka Mpango wa Miaka mitano Ni Sawa Na kusema humtambui Rais ila unatambua cabinet yake
Hii mijitu si kubwabwaja ujinga tu ili aonekane kaongea walahi!
Hovyo kabisa walahi
Katika watu wanaoandika pumba na kulishushia hadhi jukwaa hili ni wewe. Hujui kujibu hoja zaidi ya kutoa maelezo yasiokuwa na kichwa wala miguu.unawasemea wapigakura wa Tanzania as if walikwambia....mlichaguliwa kwa hicho kipeperushi. Siasa za kishabiki wajinga wanakuwa wengi.atajuaje umuhimu wakati hata Ukawa waliingia uchaguzi Bila ilani? Kila mgombea alikuwa akibwabwaja tu yanayomjia kichwani akiwemo Msigwa.Hata Chadema wangeshinda kwa haya maneno yake ina maana angetakiwa atekeleze mpango wa miaka mitano ulioandaliwa Na serikali ya CCM.Sababu wakati anaingia madarakani huo mpango upo Na umeandaliwa Na serikali ya CCM inayokabidhi madaraka.Na huo mpango kuutengeneza unautengeneza kwa kuzingatia ilani ya Chama tawala.Hautungwi hewani kama hotuba zake hewa anazotoa.Moja ya sababu ya Mgombea uraisi wa UKAWA Lowasa kukataliwa Na wananchi ilikuwa sababu hakuwa Na ilani.Angeshika nchi angetekeleza ilani ipi? Ya CUF ,ya NCCR au ya Chadema? UKAWA walau wangekuwa Na ilani moja huyu Msigwa asingeita ilani kipeperushi! Hajui umuhimu wa Ilani sababu hajaona Chama chake Na UKAWA wakiitumia.Hushinda kwa maneno ya ulaghai laghai Bila ilani yoyote! Namhurumia.2015 mlikosa uraisi kwa kuwa hamkuwa Na hicho kipeperushi kinachoitwa ilani.UKAWA hamkuwa nacho Na hamna hadi muda huu
It seems that you are not well educated regarding Governance in a given country. Kama ilani ya chama ndiyo huongoza kila kitu cha maendeleo nchini, jiulize kwa nini nchi huridhia makubaliano ya kimataifa? kwa nini nchi huwa ni mpango wa maendelao kwa mfano wa 2025 wakati ilani ya chama ni ya miaka mitano tu? kwa mfano tuna mpango wa kimataifa wa maendeleo wa 2030. Kwa nini tuna katiba? kwa nini tuna sheria na miongozo ya kisekta? tena sheria zingine ni za miaka ya nyuma kabisa kabla hata ya hiyo ilani ya juzi tu. Kwa nini tunafanya tafiti za kitaalamu wakati ilani ipo? My friend, for national development, you need to go beyond the mere interest of your party. Kwani daktari inahitaji ilani imuelekeze namna ya kumpasua mgonjwa au utaalamu ndio humuongoza? Mjenzi wa reli ilani inamsaidia nini katika utaalamu wa kuijenga? Ukweli ni kwamba kazi nyingi za maendeleo ya nchi huongozwa na utaalamu na siyo propaganda za ilani ya chama. Mkulima anasaidiwa nini kwenye utaalamu wa kilimo na hiyo ilani? Kwa kweli Ilani ya chama cha siasa ni sehemu ndogo sana ya mambo ya kusimamia kuleta maendeleo kwa sababu haijumuisha mambo mengi kiundani. Party manifesto is not Comprehensive enough to guide practices in development sectors. Tuna sekta nyingi sana za maendeleo ambazo mambo yake muhimu hayawezi kubebwa na kakitabu ka ilani. Ukubwa/ujazo wa ilani huwa ni sawa au mdogo kuliko sera ya sekta moja tu. Ukweli ni kwamba wanasiasa na ilani zao huwa na nafasi ya kusimamia tu yale ambayo wataalamu wameyapanga. Narudia tena kusema Ilani ya uchaguzi ya chama tawala ni sehemu ndogo tu ya kusimamia kuleta maendeleo ya nchi. Hamuwezi kuwagawia watumishi wote wa umma ilani ya uchaguzi mkadhani ndio maendeleo yatakuja. Nasema tena ilani ya chama si jumuishi bali ni ya kakikundi ka watu wa itikadi fulani. Natoa wito tusipoteze muda kuwagawia watumishi wa umma ilani ya chama eti iwaongoze kufanya kazi. Kazi za maendeleo huongozwa na utaalamu usiopatikana kwenye ilani bali kwenye taaluma husika. Hivi Rubani anayeendesha ndege unampa ilani imsaidie nini wakati ndege hurushwa kwa utaalamu? Acheni kupoteza muda na fedha za kurudufisha ilani badala ya kuwapa watu hizo fedha wafanye tafiti, na mengine ya kitaalamu.
Hivyo ulivyoandika ni vitu vikubwa sana kwa kichwa chake mkuu. Hatakuelewa katu. Yeye muelezee kuhusu vigodoro ndio atakuelewa."Sera ya Chadema Toleo la 2018" ndicho kilichokuwa kikizinduliwa leo. Ujinga ni kutokujua tofauti kati ya ilani na hicho kilichozinduliwa leo. Jiongeze!
Usichokijua ni usiku wa kiza. Jamani pamoja na huo mpango wa miaka mitano utekelezaji wa mambo yaliyoainishwa kwenye ilani ya chama kilichoko madarakani yapaswa kutekelezwa. Hiyo ndo hali halisi tusipotoshe watuMsigwa yupo sahihi sana. Mpango wa maendeleo wa Taifa ndio unaotekelezwa na siyo ilani ya chama. Wanaosema tunatekeleza ilani ya chama fulani, wamekosa uelewa.
Ilani inatumika katila kuomba kuchaguliwa. Chama kikichaguliwa hutumia ilani kupeleka mapendekezo ya mpango wa maendeleo kwenye Bunge.
Ilani inatakiwa iishie kwenye vikao vya CCM. Kama Taifa kinachotekelezwa ni mpango wa maendeleo wa Taifa na siyo ilani ya chama cha siasa.
SeraOna ujinga huu,! Kwa hiyo wao leo walikuwa wanazindua nini sasa,?
Hii ni poor thinking.............kwahiyo Chadema ikitokea wanapewa nchi watakuwa hawana Ilani yao?? if that is the case ni wahuniView attachment 877498 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM.
![]()
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.Kauli hiyo imekuja kufuatia www.eatv.tv ilipomtafuta mbunge huyo wa Chadema Jimbo la Iringa mjini baada hivi karibuni kukaririwa kwenye mitandao ya kijamii akiikosoa kitendo cha baadhi ya viongozi wa serikali kutaka kila mtumishi wa umma kuwa na ilani ya chama hicho tawala.
Mchungaji Msigwa amesema
"ilani inafanywa kuwa Mpango wa miaka mitano na ukishapitishwa unatungiwa sheria, hatutekelezi ilani ya Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo mtu akisema tunatekeleza ilani ya CCM anapoteza muda tu, kwa sababu hakuna nguvu ya kisheria ya kutekeleza ilani ya CCM ila kuna nguvu ya kissheria kutekeleza mpango wa miaka 5, kwa hiyo ukinipa ilani ya CCM ni sawa umenipa gazeti tu."
www.eatv.tv imezungumza na Katibu wa Bunge wa Stephen Kagaigai juu ya namna ambavyo ya utekelezaji wa zoezi la uongezwaji kwa ilani ya CCM kwenye makablasha ya wabunge amesema yeye bado hajakadhiwa ilani kwa ajili ya kuwakabidhi.
"Hizo ilani sizigawi mimi, ni serikalini huko, kwenye makablasha yangu sikuziona na kama walipewa labda walipewa kwa njia nyingine ila kwenye makashablasha yangu sijaziona."
Amesema Katibu wa bunge Kagaigai
Katika bunge la mwezi April mwaka huu Spika wa bunge Job Ndugai alitoa mwongozo kwa katibu wa bunge juu ya ugawaji wa ilani ya CCM kwa wabunge wa upinzani.
Gazeti la jamvi na udakuMchungaji Msigwa umeniangusha sana, gazeti lina hadhi, hiyo ilani ni sawa na kipeperushi tu.
Mpango wa maendeleo jombaOna ujinga huu,! Kwa hiyo wao leo walikuwa wanazindua nini sasa,?
Jitahidi kuwà mwelewa. Kumbe watu mu wajinga hiki?, Chadema wamezindua SERA na kuziweka hadharani watu wasome, na siyo ILANI.Kama kitu huelewi ni vema kudadisi na kujifunzakwa maana hiyo mchungaji msigwa anaamanisha hiyo ilani yao walioizimua kama pombe ya ngomani ni sawa na gazeti kwa kua sio mpango wa taifa wa maendeleo