Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

Msigwa: Ilani ya CCM ni kama Gazeti tu

knock knock

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
326
Reaction score
384
eatv-logo.png Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM.

Msigwa.jpg

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.​
Kauli hiyo imekuja kufuatia www.eatv.tv ilipomtafuta mbunge huyo wa Chadema Jimbo la Iringa mjini baada hivi karibuni kukaririwa kwenye mitandao ya kijamii akiikosoa kitendo cha baadhi ya viongozi wa serikali kutaka kila mtumishi wa umma kuwa na ilani ya chama hicho tawala.
Mchungaji Msigwa amesema

"ilani inafanywa kuwa Mpango wa miaka mitano na ukishapitishwa unatungiwa sheria, hatutekelezi ilani ya Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo mtu akisema tunatekeleza ilani ya CCM anapoteza muda tu, kwa sababu hakuna nguvu ya kisheria ya kutekeleza ilani ya CCM ila kuna nguvu ya kissheria kutekeleza mpango wa miaka 5, kwa hiyo ukinipa ilani ya CCM ni sawa umenipa gazeti tu."

www.eatv.tv imezungumza na Katibu wa Bunge wa Stephen Kagaigai juu ya namna ambavyo ya utekelezaji wa zoezi la uongezwaji kwa ilani ya CCM kwenye makablasha ya wabunge amesema yeye bado hajakadhiwa ilani kwa ajili ya kuwakabidhi.

"Hizo ilani sizigawi mimi, ni serikalini huko, kwenye makablasha yangu sikuziona na kama walipewa labda walipewa kwa njia nyingine ila kwenye makashablasha yangu sijaziona."

Amesema Katibu wa bunge Kagaigai
Katika bunge la mwezi April mwaka huu Spika wa bunge Job Ndugai alitoa mwongozo kwa katibu wa bunge juu ya ugawaji wa ilani ya CCM kwa wabunge wa upinzani.
 
View attachment 877498 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM.

Mchungaji Msigwa umeniangusha sana, gazeti lina hadhi, hiyo ilani ni sawa na kipeperushi tu.
 
atajuaje umuhimu wakati hata Ukawa waliingia uchaguzi Bila ilani? Kila mgombea alikuwa akibwabwaja tu yanayomjia kichwani akiwemo Msigwa.Hata Chadema wangeshinda kwa haya maneno yake ina maana angetakiwa atekeleze mpango wa miaka mitano ulioandaliwa Na serikali ya CCM.Sababu wakati anaingia madarakani huo mpango upo Na umeandaliwa Na serikali ya CCM inayokabidhi madaraka.Na huo mpango kuutengeneza unautengeneza kwa kuzingatia ilani ya Chama tawala.Hautungwi hewani kama hotuba zake hewa anazotoa.Moja ya sababu ya Mgombea uraisi wa UKAWA Lowasa kukataliwa Na wananchi ilikuwa sababu hakuwa Na ilani.Angeshika nchi angetekeleza ilani ipi? Ya CUF ,ya NCCR au ya Chadema? UKAWA walau wangekuwa Na ilani moja huyu Msigwa asingeita ilani kipeperushi! Hajui umuhimu wa Ilani sababu hajaona Chama chake Na UKAWA wakiitumia.Hushinda kwa maneno ya ulaghai laghai Bila ilani yoyote! Namhurumia.2015 mlikosa uraisi kwa kuwa hamkuwa Na hicho kipeperushi kinachoitwa ilani.UKAWA hamkuwa nacho Na hamna hadi muda huu
 
Msigwa yupo sahihi sana. Mpango wa maendeleo wa Taifa ndio unaotekelezwa na siyo ilani ya chama. Wanaosema tunatekeleza ilani ya chama fulani, wamekosa uelewa.

Ilani inatumika katila kuomba kuchaguliwa. Chama kikichaguliwa hutumia ilani kupeleka mapendekezo ya mpango wa maendeleo kwenye Bunge.

Ilani inatakiwa iishie kwenye vikao vya CCM. Kama Taifa kinachotekelezwa ni mpango wa maendeleo wa Taifa na siyo ilani ya chama cha siasa.
 
View attachment 877498 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM.

Msigwa.jpg

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.​
Kauli hiyo imekuja kufuatia www.eatv.tv ilipomtafuta mbunge huyo wa Chadema Jimbo la Iringa mjini baada hivi karibuni kukaririwa kwenye mitandao ya kijamii akiikosoa kitendo cha baadhi ya viongozi wa serikali kutaka kila mtumishi wa umma kuwa na ilani ya chama hicho tawala.
Mchungaji Msigwa amesema

"ilani inafanywa kuwa Mpango wa miaka mitano na ukishapitishwa unatungiwa sheria, hatutekelezi ilani ya Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo mtu akisema tunatekeleza ilani ya CCM anapoteza muda tu, kwa sababu hakuna nguvu ya kisheria ya kutekeleza ilani ya CCM ila kuna nguvu ya kissheria kutekeleza mpango wa miaka 5, kwa hiyo ukinipa ilani ya CCM ni sawa umenipa gazeti tu."

www.eatv.tv imezungumza na Katibu wa Bunge wa Stephen Kagaigai juu ya namna ambavyo ya utekelezaji wa zoezi la uongezwaji kwa ilani ya CCM kwenye makablasha ya wabunge amesema yeye bado hajakadhiwa ilani kwa ajili ya kuwakabidhi.

"Hizo ilani sizigawi mimi, ni serikalini huko, kwenye makablasha yangu sikuziona na kama walipewa labda walipewa kwa njia nyingine ila kwenye makashablasha yangu sijaziona."

Amesema Katibu wa bunge Kagaigai
Katika bunge la mwezi April mwaka huu Spika wa bunge Job Ndugai alitoa mwongozo kwa katibu wa bunge juu ya ugawaji wa ilani ya CCM kwa wabunge wa upinzani.
Maendeleo ya nchi huongozwa na kuchochewa na haya yafuatayo:
1. Mpango wa maendeleo wa Taifa wa muda mfupi, wa kati na muda mrefu. Waweza kuwa mpango wa maendeleo wa miaka mitano kwa mfano
2. DIRA ya Taifa.
3. Makubaliano na mipango ya maendeleo ya kimataifa na kikanda. Mfano, EFA, MDGs, SGDs, n.k
4. Sera za sekta husika, mfano sera ya elimu, sera ya kilimo, sera ya madini, sera ya viwanda, sera ya afya n.k
5. Falsafa ya nchi
6. Mipango ya kitaasisi, kama vile mpango mkakati, mpango kazi, n.k
7. Sheria, kanuni na miongozo ya kisekta. Kama vile sheria ya elimu, sheria ya madini, sheria ya uhamiaji, sheria ya kodi, usafirishaji, n.k.
8. Tafiti za kitaalamu
9. Katiba ya nchi.

Yote hayo niliyoorodhesha huandaliwa kitaalamu na inawahusu watu wote bila kujali itikadi za vyama. Ni tofauti na ilani ya chama ambayo ni matakwa ya kakikundi fulani ka watu wa itikadi fulani ya chama. Ilani pia huandaliwa kipropaganda zaidi na pia huandaliwa kufuata matakwa ya chama fulani au mtu fulani wa chama hicho. Na ukweli ni kwamba hata wanaoandaa hiyo ilani huibia na kudonoa vitu fulani vichache vinavyowavutia kutoka kwenye hayo yote niliyoyataja hapo juu.
 
Huelewi kitu Chadema ikishinda ukiniita nikutengenezee mpango wa miaka mitano moja ya document ninayohitaji ni ilani yako ya uchaguzi ya uliyoahidi kuyatekeleza document zingine sikwambii unatakiwa unilipe.Ndipo kazi yako inakuwa rahisi.Kutengeneza mpango wa serikali hukai tu kwenye laptop Na kunyanyua macho kwenye Dari kinachokujia ndio unaandika !!!!! Lazima uwe Na source reliable mojawapo ambayo ni source kuu ni Ilani ya Chama tawala sababu serikali yake ndio ita impliment huo mpango Na kuhakikisha unakuwa successful.
 
View attachment 877498 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa amesema hata akikabidhiwa ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) hawezi kuipokea kwa madai kila mwananchi anapaswa kukabidhiwa mpango wa maendeleo ya taifa ya miaka mitano na si ilani ya CCM.

Msigwa.jpg

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.​
Kauli hiyo imekuja kufuatia www.eatv.tv ilipomtafuta mbunge huyo wa Chadema Jimbo la Iringa mjini baada hivi karibuni kukaririwa kwenye mitandao ya kijamii akiikosoa kitendo cha baadhi ya viongozi wa serikali kutaka kila mtumishi wa umma kuwa na ilani ya chama hicho tawala.
Mchungaji Msigwa amesema

"ilani inafanywa kuwa Mpango wa miaka mitano na ukishapitishwa unatungiwa sheria, hatutekelezi ilani ya Chama cha Mapinduzi, kwa hiyo mtu akisema tunatekeleza ilani ya CCM anapoteza muda tu, kwa sababu hakuna nguvu ya kisheria ya kutekeleza ilani ya CCM ila kuna nguvu ya kissheria kutekeleza mpango wa miaka 5, kwa hiyo ukinipa ilani ya CCM ni sawa umenipa gazeti tu."

www.eatv.tv imezungumza na Katibu wa Bunge wa Stephen Kagaigai juu ya namna ambavyo ya utekelezaji wa zoezi la uongezwaji kwa ilani ya CCM kwenye makablasha ya wabunge amesema yeye bado hajakadhiwa ilani kwa ajili ya kuwakabidhi.

"Hizo ilani sizigawi mimi, ni serikalini huko, kwenye makablasha yangu sikuziona na kama walipewa labda walipewa kwa njia nyingine ila kwenye makashablasha yangu sijaziona."

Amesema Katibu wa bunge Kagaigai
Katika bunge la mwezi April mwaka huu Spika wa bunge Job Ndugai alitoa mwongozo kwa katibu wa bunge juu ya ugawaji wa ilani ya CCM kwa wabunge wa upinzani.
Hebu niulizie alienda msibani ukara kweli ! Jimbo lao lile ujue ! Ohooo!
 
Maendeleo ya nchi huongozwa na kuchochewa na haya yafuatayo:
1. Mpango wa maendeleo wa Taifa wa muda mfupi, wa kati na muda mrefu. Waweza kuwa mpango wa maendeleo wa miaka mitano kwa mfano
2. DIRA ya Taifa.
3. Makubaliano na mipango ya maendeleo ya kimataifa na kikanda. Mfano, EFA, MDGs, SGDs, n.k
4. Sera za sekta husika, mfano sera ya elimu, sera ya kilimo, sera ya madini, sera ya viwanda, sera ya afya n.k
5. Falsafa ya nchi
6. Mipango ya kitaasisi, kama vile mpango mkakati, mpango kazi, n.k
7. Sheria, kanuni na miongozo ya kisekta. Kama vile sheria ya elimu, sheria ya madini, sheria ya uhamiaji, sheria ya kodi, usafirishaji, n.k.
8. Tafiti za kitaalamu
9. Katiba ya nchi.

Yote hayo niliyoorodhesha huandaliwa kitaalamu na inawahusu watu wote bila kujali itikadi za vyama. Ni tofauti na ilani ya chama ambayo ni matakwa ya kakikundi fulani ka watu wa itikadi fulani ya chama. Ilani pia huandaliwa kipropaganda zaidi na pia huandaliwa kufuata matakwa ya chama fulani au mtu fulani wa chama hicho. Na ukweli ni kwamba hata wanaoandaa hiyo ilani huibia na kudonoa vitu fulani vichache vinavyowavutia kutoka kwenye hayo yote niliyoyataja hapo juu.
Usipohusisha ilani ya Chama tawala ambacho kimeiweka serikali ambaye ndie mtekelezaji wa mpango .Mpango wako hautatejekeleka.Chama tawala huisimamia serikali yake Na kuihoji kuhusu utekelezaji wa Ilani yake.Mipango yako kama haijazingatia ilani itakosa wasimamizi ndani ya bunge Na nje ya bunge.Ndani ya bunge wabunge wengi ni Chama tawala ambao kazi yao kuhakikisha Yale ya ilani yao yanakuwa reflected kwenye bajeti , mpango wa maendeleo nk usipoyaweka hayataungwa Mkono Na nje Chama kitahoji Na kuibana serikali kwenye ya kwenye ilani tu.Hayo yako kama mtaalamu kama huzingatii mpango wako utakuwa orphan.Utaalamu wa mipango ni politics pia huuandiki tu kufurahisha utaalamu wako unajuiliza utapata support kuanzia mwanzo hadi utekelezaji Na implementors?Huuandiki mpango kuonyesha your professional!!!!! Mpango u ki fail utaonekana you are not proffessional hata utoe kisingizio vipi sababu huku take into consideration political factors ikiwemo ilani ya Chama tawala.Sababu Sababu mojawapo ya mipango Ku fail ni political risks.Unatakiwa u take into consideration kwa kuziingiza kwenye mpango.Chukua ilani weka issues zake kwenye mpango.Utakuwa mtaalamu maarufu wa mipango popote iwe USA,ulaya nk usipoweka unaacha mlango wazi wa mpango kufail due to lack of political support ndani ya bunge Na nje
 
"Sera ya Chadema Toleo la 2018" ndicho kilichokuwa kikizinduliwa leo. Ujinga ni kutokujua tofauti kati ya ilani na hicho kilichozinduliwa leo. Jiongeze!
Ujinga zaidi ni msigwa na chadema kufikiri wangeweza kuonhoza nchi bila ilani waliyoomnea kura
 
Usipohusisha ilani ya Chama tawala ambacho kimeiweka serikali ambaye ndie mtekelezaji wa mpango .Mpango wako hautatejekeleka.Chama tawala huisimamia serikali yake Na kuihoji kuhusu utekelezaji wa Ilani yake.Mipango yako kama haijazingatia ilani itakosa wasimamizi ndani ya bunge Na nje ya bunge.Ndani ya bunge wabunge wengi ni Chama tawala ambao kazi yao kuhakikisha Yale ya ilani yao yanakuwa reflected kwenye bajeti , mpango wa maendeleo nk usipoyaweka hayataungwa Mkono Na nje Chama kitahoji Na kuibana serikali kwenye ya kwenye ilani tu.Hayo yako kama mtaalamu kama huzingatii mpango wako utakuwa orphan.Utaalamu wa mipango ni politics pia huuandiki tu kufurahisha utaalamu wako unajuiliza utapata support kuanzia mwanzo hadi utekelezaji Na implementors?Huuandiki mpango kuonyesha your professional!!!!! Mpango u ki fail utaonekana you are not proffessional hata utoe kisingizio vipi sababu huku take into consideration political factors ikiwemo ilani ya Chama tawala.Sababu Sababu mojawapo ya mipango Ku fail ni political risks.Unatakiwa u take into consideration kwa kuziingiza kwenye mpango.Chukua ilani weka issues zake kwenye mpango.Utakuwa mtaalamu maarufu wa mipango popote iwe USA,ulaya nk usipoweka unaacha mlango wazi wa mpango kufail due to lack of political support ndani ya bunge Na nje
It seems that you are not well educated regarding Governance in a given country. Kama ilani ya chama ndiyo huongoza kila kitu cha maendeleo nchini, jiulize kwa nini nchi huridhia makubaliano ya kimataifa? kwa nini nchi huwa ni mpango wa maendelao kwa mfano wa 2025 wakati ilani ya chama ni ya miaka mitano tu? kwa mfano tuna mpango wa kimataifa wa maendeleo wa 2030. Kwa nini tuna katiba? kwa nini tuna sheria na miongozo ya kisekta? tena sheria zingine ni za miaka ya nyuma kabisa kabla hata ya hiyo ilani ya juzi tu. Kwa nini tunafanya tafiti za kitaalamu wakati ilani ipo? My friend, for national development, you need to go beyond the mere interest of your party. Kwani daktari inahitaji ilani imuelekeze namna ya kumpasua mgonjwa au utaalamu ndio humuongoza? Mjenzi wa reli ilani inamsaidia nini katika utaalamu wa kuijenga? Ukweli ni kwamba kazi nyingi za maendeleo ya nchi huongozwa na utaalamu na siyo propaganda za ilani ya chama. Mkulima anasaidiwa nini kwenye utaalamu wa kilimo na hiyo ilani? Kwa kweli Ilani ya chama cha siasa ni sehemu ndogo sana ya mambo ya kusimamia kuleta maendeleo kwa sababu haijumuisha mambo mengi kiundani. Party manifesto is not Comprehensive enough to guide practices in development sectors. Tuna sekta nyingi sana za maendeleo ambazo mambo yake muhimu hayawezi kubebwa na kakitabu ka ilani. Ukubwa/ujazo wa ilani huwa ni sawa au mdogo kuliko sera ya sekta moja tu. Ukweli ni kwamba wanasiasa na ilani zao huwa na nafasi ya kusimamia tu yale ambayo wataalamu wameyapanga. Narudia tena kusema Ilani ya uchaguzi ya chama tawala ni sehemu ndogo tu ya kusimamia kuleta maendeleo ya nchi. Hamuwezi kuwagawia watumishi wote wa umma ilani ya uchaguzi mkadhani ndio maendeleo yatakuja. Nasema tena ilani ya chama si jumuishi bali ni ya kakikundi ka watu wa itikadi fulani. Natoa wito tusipoteze muda kuwagawia watumishi wa umma ilani ya chama eti iwaongoze kufanya kazi. Kazi za maendeleo huongozwa na utaalamu usiopatikana kwenye ilani bali kwenye taaluma husika. Hivi Rubani anayeendesha ndege unampa ilani imsaidie nini wakati ndege hurushwa kwa utaalamu? Acheni kupoteza muda na fedha za kurudufisha ilani badala ya kuwapa watu hizo fedha wafanye tafiti, na mengine ya kitaalamu.
 
Kumbe Mch. Msigwa Mweupe Sana kichwani

Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano unatengenezwa Kwa kutumia Ilani ya chama kilichoshika dola

Ndani ya Mpango ule wa Miaka mitano ukishauandaa ndio unazalisha Bajeti ya Mwaka mmoja mmoja ( Annual budget )

Sasa ukisema hutaki Ilani ya CCM Ila unataka Mpango wa Miaka mitano Ni Sawa Na kusema humtambui Rais ila unatambua cabinet yake
 
Yule mvaa mashati yenye mifuko ya bendera anapaswa kubeba kitabu chenye mipango ya Taifa na sio ilani ya CCM.
 
Back
Top Bottom