Msigwa: Hata mimi nina faili la Spika akimsema vibaya "Mkuu"

Duh...!.
P
Tokea Ndungai apige ile bilion 12 akaona kuna kesi mbele yake kaamua kujitoa fahamu ni mwendo wa kumsifia mtukufu saa zote hata akiwa ndotoni na endapo atakuja kuwa spika tena lazima atabadili katiba iwe kama chini ambapo Rais anakuwa wa milele mpaka akizeeka na kustaafu mwenyewe kwa Mapenzi yake kama afanyavyo papa john paul wa pili
 
Mtu kama Ndugai sijui hata alipataje ule uspika

Ni janga la kitaifa kuwa na spika kama huyu.

Kipindi kijacho hata kama ni kutoka CCM, apendekezwe mtu mwenye busara.

Kwa bahati mbaya sherti la kuwa mwana CCM ni sherti uvae joho la ushetani na ukazizika akili zako mpaka pale utapotoka chama hicho. Sijui tufanyeje!!!!!!
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Niguze ninduke
 
msigwa umepoteza uaminifu kitambo.
kamwe huwezi kuaminika ktk jamii.
laaana ya mzee kinana itakutafuna hadi mwisho wa siasa zako
 
Mi sishtushwi na hao praiz team kwanza siwaiti praiz team mi nawaita prank team wanamchezea prank baba wawatu anajiona anapendwa kumbe niprank tu .Wote hawa wanao mwambia aongeze muhula wanamfanyia prank tu.
 
Kwahiyo msigwa hajakataa kuwa hana file baya?,,ila defence yake ni kuwa na yeye ana file la huyu spika.?
Kwahiyo wanafumbana midomo,,msigwa yuko hatarini kupoteza uchungaji na spika kupoteza uspika,
Laiti kama ndugae angejua,,

Ni zamu ya wamama..
 
Naamini wote huko juu walimsema vibaya, labda kwa kuwa walikuwa hawamwelewi, yeye tu awasamee bila hata ya kuombwa radhi, kwangu mie bado namsema vibaya uenda pia sijamwelewa, nikimwelewa nitaacha!
 
CCM sasa ni wanafiki ,mkuu kafanikiwa kuwajengea hofu nao wanampamba kwa mgongo wa chupa.
Sekou Toure Guinea President 1958-84.
Alianza kwa kupendwa kama mwanamapinduzi kwa kama miaka 6/7 ya mwanzo. Akajageuka na kuwa dikteta alietisha sana pia hata kwa uchawi/ushirikina. Alikuwa anadukuwa mawasiliano ya walio chini yake wote na hata sehemu kubwa ya wananchi.
Ili kukwepa kutumbuliwa, kukamatwa, kuuawa au vyote, mwendo ukawa ni kujipendekeza, kuimba mapambio na kuhujumiana/kusalitiana kama ilivyo hapa.
Kwa jinsi Rais wa maisha alivyokuwa anaogopwa, mapinduzi yaliweza kuanza kufanyika alipokufa, mara tu baada ya kuzikwa kwake.
Wapambe wake wa karibu walikamatwa wote isipokuwa waliyowahi kukimbia/kutoroka.
 
Mtaandika sana
Lakini Tumeshtuka
Kiki imebuma

Hata wewe yale mapanga uliyopigwa kichwani kipindi kile na pikipiki ikasepa yale majamaa yalikua yanafanya kiki tu.

Ilitakiwa yafanye kweli mpaka uwe kitandani sasa hivi hujiwezi ni mwendo wa kukojoa na kunya ukiwa kitandani tu.
 
Ndugai siyo mzima , anayoyatenda bungeni ni aibu kwa nchi , sijawahi kuona spika yeyote aliyepita akifanya siasa za kishamba za ccm ndani ya bunge kama Ndugai , anaonekana kama mtu mshamba na limbukeni mno !
Hamshindi Mbowe. Bingwa wa kuigiza
Screenshot_20200610-092729.jpg
 
Kwa bahati mbaya sherti la kuwa mwana CCM ni sherti uvae joho la ushetani na ukazizika akili zako mpaka pale utapotoka chama hicho. Sijui tufanyeje!!!!!!
Kama lijualikali tayari keshavua joho la hekima na kalivaa la ushetani na akili zishamruka kabisa, kabla hata hajafika getini.
 
Mwenye faili la Spika ni nani? Ni huyu Msigwa mwongo, mzushi na mzandiki. ? Si juzi tu kaomba radhi kwa Kinana kwa kumzushia uongo. Hakuna wa kumwamini Msigwa.
Unaonaa eeh basi mshauri mh spika amwage ubuyu,,,,,asipo mwaga ujue kuna kitu
 
Back
Top Bottom