Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

Walaumu viongozi wa JF ni kwanini wameweka kitufe cha tetesi!

USIWE KAMA KILAZA!
Kinana amefungua kesi kwenye magazeti , hakwenda mahakamani ndio maana mpaka leo Msigwa hajawa served na copy ya mashitaka ...........
 
ukimchukua mpumbavu uakamchanganya na ngano,ukamtwanga pamoja mpumbavu atabaki na ubumbavu wake
 
Msigwa alifikiri kinana anatania kupeleka kesi mahakamani sasa mchecheto hana amani hata bungeni alipwaya sana kwny bajeti hajui atapata wapi fedha za kulipa fidia majangaaaaaaaa!!!
 
Msigwa alifikiri kinana anatania kupeleka kesi mahakamani sasa mchecheto hana amani hata bungeni alipwaya sana kwny bajeti hajui atapata wapi fedha za kulipa fidia majangaaaaaaaa!!!
Kesi ipi? Aliyofungua kwenye magazeti?
 
Ushahidi mnao? mimi sitaki kuwa msukule wa kuamini mambo bila ushahidi, endapo ushahidi ukipatikana, basi Kinana tunamtoa kwenye nafasi yake ya sasa kwenye chama.

Ila ni mwendawazimu tu ndie atakae amini maneno ya kuropokwa majukwaani bila ya ushahidi.

Msigwa anamuomba Kinana a-withdraw kesi, wewe upo humu unashika bango kuwa Kinana jangili. Je, wewe una akili sawasawa?

Unatafuta ukuu wa wilaya, ongeza juhudi utapata.
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

Tetesi yako ni nzuri na ina mashiko kama ingetoka kwa mtu mwingine, tatizo Hamy-D kila mtu anakujua humu jamvini kuwa wewe ni nani, may be u have to change your ID
 
Kinana haponi katika hili tembo ni vitu vilivyo wazi, na kamwe hawezi kujisafisha kwa kutumia vibaraka kama wewe. Hata mimi ninae ishi karibu na mbuga ya Ruaha, ninafahamu yote kuhusu ujangiri wa Kinana kabla ya hata mh. Msigwa kutamka hivyo..
Big up Rev. Msigwa
 
Nafanya haya yote kwa mapenzi mema niliyo nayo kwa nchi yangu, nimekataa kazi zenye reputation ili nije hapa jukwaani kuzifungua fikra za watu wa aina yako.

Kingine, naisema chadema kwa kuwa naogopa nchi yangu kuja kutawaliwa na majambazi na wauaji.

Inaonesha huwajui majambazi na wauaji wa hii nchi na defenetely ww co mzalendo wa nchi hii na huenda hujui unachokiongea ndo mana unasema unaogopa Chadema na co Kinana (jambazi na muuaji) unayetemtetea.
 
Kutumiwa huku mi hata sikuwezi halafu baada ya muda hua wanatoweka Tu....kuna mpumbavu mwingine alikua abapost Mara zaidi ya ishirini kwa dakika, sijui keshapewa ukuu WA wilaya maana haonekani tena sasa

Kwanza kabisa utambue ni wachache sana hawa nakuhakikishia hawazidi watatu (3) ila wanachofanya wamejisajili humu kwa ID zaidi ya moja.
 
Ushahidi mnao? mimi sitaki kuwa msukule wa kuamini mambo bila ushahidi, endapo ushahidi ukipatikana, basi Kinana tunamtoa kwenye nafasi yake ya sasa kwenye chama.

Ila ni mwendawazimu tu ndie atakae amini maneno ya kuropokwa majukwaani bila ya ushahidi.

Msigwa anamuomba Kinana a-withdraw kesi, wewe upo humu unashika bango kuwa Kinana jangili. Je, wewe una akili sawasawa?

Kama ni hivo mbona nafasi za watu wengi kwenye Chama zitakuwa hatarini!!! Maana watu wanatuhuma na ushahidi upo ila ndio kesi ya Nyani tena kwa hakimu Tumbiri sijui kama haki mkulima atapata juu ya mahindi yake..wazo tu lakini!!
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapoakaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

Hahahahahahaa,Msigwa jitokeze kukanusha Madai haya vinginevyo tutakuona stupid MP,unayeropoka na kukiuka maadili ya kiroho ya kusingizia na kusema uongo,
 
Inaelekea Kinana alidhani Jamaa anatania! Kwa nini awatume mje kutengeneza mzengwe kama huu kwa jamii?
 
Back
Top Bottom