Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

ccm ,ccm hapana huna jipya ccm..umetunyonya vya kutosha...sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm mbona Mwl alikuacha mwema na kila mtanzania akakufurahia?..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm umekuwa chama cha biashara ,tena zile haramau,ukaacha kuhusudu haki..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm,walokufa wengi tena mikononi mwako,wale waliokukosoa uliwaona wasaliti..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,tumekuchoka kwa zako siasa chafu,maovu wayapanga tena kwa waadilifu..sitamani kukuona wala kukusikia ccm
ccm ungekufa leo,wala nisingelia,utajiri wa tz waugawa kwa wachache,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm busara umekosa,ukaitupa sheria,dola waitumia bila hata ueledi,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm,ccm kejeli wazidisha hata kwenye mambo ya msingi,elimu na afya didimia sababu ccm,sitamani kukusikia ccm.
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei a
mbae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

Jembe, kachomekwe mpini Lumumba.
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

Emancipate yourselves from mental slavery, non but youselves can free your minds....
 
Mbele ya serikali tatu mahakimu siku hizi wanatenda haki tu. hata kama si yeye tembo wetu wanaisha na serikali iko kimya wewe unaona sawa?
 
Ushahidi mnao? mimi sitaki kuwa msukule wa kuamini mambo bila ushahidi, endapo ushahidi ukipatikana, basi Kinana tunamtoa kwenye nafasi yake ya sasa kwenye chama.

Ila ni mwendawazimu tu ndie atakae amini maneno ya kuropokwa majukwaani bila ya ushahidi.

Msigwa anamuomba Kinana a-withdraw kesi, wewe upo humu unashika bango kuwa Kinana jangili. Je, wewe una akili sawasawa?

Viti maalum vimefutwa
 
Mkuu, kama Kinana akisimama kidete na hii kesi, basi kosa au hatia ya Msigwa itakuwa ni defamation (adhabu yake ni fidia isiyo pungua bilion 1) sasa kilaza Msigwa atapata wapi pesa hii?

Wewe ndiye hakimu??? Mbona unaanza kuleta hadithi za Abunuwasi??
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

Duh kazi kweli kweli Ulianza na " CHADEMA HAWATUMII RUZUKU YAO VIZURI NIKAULIZA NI VP MRADI WA DODOMA UMEKWAMA ILI HALI KWENYE TOVUTI YENU INA MICHORO MIZURI YA KUVUTIA NA RUZUKU MNAPATA AU MMESHAJENGA MAJENGO MANGAPI NA WAPI TOKA MLIPOANZA POKEA RUZUKU ? - KIMYA" Ukaja na " OH WABUNGE WA CDM HAWANA MPANGO WA KUINGIA KWENYE KIKAO CHA KUPITISHA BAJETI- KWELI HAWAKUINGIA NA SABABU WANAZO ZINAZOJITOSHELEZA NINYI MMERUHUSIWA KUIPITISHA SASA MJE MSUBIRI MPACT YA KILE MLICHOJADILI NA KUKIPITISHA" Leo " MSIGWA AMUOMBA MZEE MTEI AMUOMBEE MSAMAHA KWA BIGWA WA TUSKER " KINANA" Mimi kwa maoni yangu inaonyesha wewe ni mtunzi mzuri sana wa riwaya za kufikirika ongea na Mick Mahammod - Mkurugenzi wa magazeti ya UHURU NA MZALENDO akupe kurasa unaweza saidia kuongeza mauzo maana kama sio kulazimisha ofisi zote za serekali na Mashirika ya Umma kununua haya Magazeti sijui kama yangelikuwepo. NAKUTAKIA UTUNZI MWEMA WA EPISODAL IJAYO NDUGU - KAZI NJEMA
 
BY HAMY D; Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

HAMY D leo unaonekana umeenda lumumba kusaini buku 7 kabla nape hajafungua kile chumba chake pale lumumba USHAIDI UPO USIO NA SHAKA KUWA KINANA NI JANGILI SUGU MTAANI BIA YA TUSKER NA NDUVU ZNAITWA KINANA
 
BY HAMY D; Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.

HAMY D leo unaonekana umeenda lumumba kusaini buku 7 kabla nape hajafungua kile chumba chake pale lumumba USHAIDI UPO USIO NA SHAKA KUWA KINANA NI JANGILI SUGU MTAANI BIA YA TUSKER NA NDOVU ZNAITWA KINANA
 
quote_icon.png
By dmayola

MHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH ME SIMOOOOOOOOOOOOOOOOOO STA BEST AT WORK
 
Nafanya haya yote kwa mapenzi mema niliyo nayo kwa nchi yangu, nimekataa kazi zenye reputation ili nije hapa jukwaani kuzifungua fikra za watu wa aina yako.

Kingine, naisema chadema kwa kuwa naogopa nchi yangu kuja kutawaliwa na majambazi na wauaji.

Hao CHADEMA unaowaita majambazi na wauwaji wananchi wanazidi kuwakubali kila kukicha. Tathimini inaonesha kuwa kukubalika kwao kunaongezeka wakati imani kwa CCM inatoweka kila uchao. Sasa angalia usije umbuka siku ukiona hao usiotaka wachukue nchi watakapokuwa wanazungumza tokea Magogoni na Dodoma mjengoni.

Jitihada unazofanya ili kuiponya Nchi yako toka mikononi mwa CHADEMA hujaanza wewe au hazijaanza leo, wenzako kila siku wanafikria nini wafanye kuifanya CHADEMA isikubalike kwa Watanzania lakini badala yake wanazidi kuwapa chati.
Unakumbuka video ya Mwigulu dhidi ya ugaidi wa Lwakatare na CHADEMA? Badala ya kuizamisha CHADEMA imewapaisha zaidi.
Unakumbuka Mwigulu kufanya kampeni na Tesha wa Igunga kuwa amemwagiwa tindikali na CHADEMA ili wananchi waikatae CHADEMA, alianza nae kampeni ya udiwani Mbeya, unajua matokea na tofauti ya kura???

Wananchi wanajiuliza kwanini CHADEMA??? Kwanini waliomchinja kiongozi wa CHADEMA walikimbia mikononi mwa polisi??? kwanini walio mwagia tindikali Saed Kubenea na Ndimara hawajulikani??? kwanini waliomteka na kumtesa Dr Ulimboka hawapatikani??? ni nani aliyemtesa Kibanda hajulikani hadi leo??? Je Kamuhanda cheo kimepanda baada ya mauaji ya kinyama dhidi ya Mwangosi?? Haya maswali yasiyo na majibu yanatufanya sisi wananchi kukosa imani na CCM.
Mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila ukweli siipendi CCM kutoka ndani ya moyo wangu na ndani ya akili yangu ndani ya nafsi yangu pia
TANZANIA bila CCM ndio hatua kuelekea kwenye matumaini.
 
Acha unafiki. Mtu mzima wewe unapoteza mda kuzungumzia tetesi? unakimbilia wapi; kwa nini usisubiri ukathibitisha ndio u-post. Acha wenge
 
HII id ni ile badala ya Tuntemeke kwa hiyo wana JF hakuna sababu ya kuhangaika na kikundi cha majamba aka masalia aka chale za m.a ---- aka kuua panya wote jana ulileta hii thread ikabutuliwa leo umeirudia the great liar

Kwa hiyo baada ya Tuntemeke ndiyo imekuwa hii HAMMY - D ! Asante kwa Taarifa mkuu .
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi
wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake
mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni
jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma
mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye
kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha
pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo
akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili
akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo
mahakamani.

haya ni matatizo ya kuugua pepopunda utotoni!
 
tutakutana mahakani nddipo kinana atakapojuta kupeleka kesi mahakamani

Mawazo ya chooni,
Hivi kwa akili zako za buku saba unadhani Mch Msigwa aliingiwa na pepo kama ccm ndio akaongea yale maneno?
Kama kuna mahali viongozi wengi wa ccm wata aibika ni hii kesi ikienda mahakamani.
Labda mwambieni Kinana asithubutu kwenda mahakamani kwa maslahi ya viongozi wenu magamba
 
Wana-JF!

Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.

Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.

Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.
Moods, huyu mtu ni muongo na taarifa zake sio za kweli hata kidogo, inawezekana Kinana anatafuta mbinu ya kuficha aibu yake , kwani mpaka leo Msigwa hajapewa hati ya mashitaka ili yaweze kujibiwa na mawakili wake , Kinana anapaswa kueleza kesi yake aliyofungua ni namba ngapi na mbona Msigwa hajawa served na copy .........
 
Back
Top Bottom