Msigwa amuomba mzee Mtei akaongee na Kinana ili wayamalize!

hiyo kesi imekalia msigwa pabaya. tatizo ni kwamba mtei hana sifa ya usuluhishi. ni dikteta na hana busara
 
Mashoga mna kazi usipotaka jina la kamanda wa CDM HATA MMOJA HULIPWI? Yaani MTEI AKAONGEE NA JANGILI? Tukutane mahakaman tushasema.

kwikwi kumbe skujua kumbe kampuni ya hamy-d nto wale jaki sawa kwa wote ndo mana bila kutaja wanaume halali usingizi
 
Aseme hadharani basi tusikie

"To know the enemy is half the victory"
 
naskia arufu ya takataka kila kukicha wewe ni ushenizi, upumbavu, upuuz na uwehu...wewe ni wa aina gan? au ndio mambo yenu yale yana kusumbuwa
 
Kama una ushahidi wa tuhuma zako nenda kampelekee Msigwa, maana yeye mambo yamemkaba koo huko kwani hana ushahidi wa kuthibitisha juu ya kesi hiyo.

dada hamy c ukafanye kazi hata za saluni zitakulipa tu inakuaje unangaika usku na mchana kuhusu chadema
 
Nikutumie mawasiliano ya Msigwa ili umpe matumaini?

Mwenzako ana akili ndio maana ameona hatma ya hii kesi ni 'defamation', fidia yake si chini ya Tshs 1 billion, sasa kama una ushahidi fanya umsaidie au lah atafilisiwa yeye na CHADEMA yake.

Defamation of character? Kitu cha kwanza ni kumshambulia kinana personal, uhalali wa uraia wake, uhalali wa mali anazomiliki kulinganisha na kipato cha kiongozi wa serikali, uhusiano wake na kampuni iliyokamatwa kusafirisha mano ya Tembo. Ushahidi utatoka kinywani kwake kinana mbele ya mahakama atakapokamuliwa maswali na mwanasheria
 
hiyo kesi imekalia msigwa pabaya. tatizo ni kwamba mtei hana sifa ya usuluhishi. ni dikteta na hana busara

Mkuu, kama Kinana akisimama kidete na hii kesi, basi kosa au hatia ya Msigwa itakuwa ni defamation (adhabu yake ni fidia isiyo pungua bilion 1) sasa kilaza Msigwa atapata wapi pesa hii?
 
dada hamy c ukafanye kazi hata za saluni zitakulipa tu inakuaje unangaika usku na mchana kuhusu chadema

Nafanya haya yote kwa mapenzi mema niliyo nayo kwa nchi yangu, nimekataa kazi zenye reputation ili nije hapa jukwaani kuzifungua fikra za watu wa aina yako.

Kingine, naisema chadema kwa kuwa naogopa nchi yangu kuja kutawaliwa na majambazi na wauaji.
 
Sijui kama kinana atakubari make alishampa mda wa kumuomba msamaha na kufuta maneno yake akapuzia sasa ngoja aione dola.
 
Nafanya haya yote kwa mapenzi mema niliyo nayo kwa nchi yangu, nimekataa kazi zenye reputation ili nije hapa jukwaani kuzifungua fikra za watu wa aina yako.

Kingine, naisema chadema kwa kuwa naogopa nchi yangu kuja kutawaliwa na majambazi na wauaji.

ndio ushachelewa bro we kutawaliwa na chadema haikwepeki,. Pole sana fada
 
Hamy kunawatu hawajafundishwa kujua ukweli hata uko wazi kiasi gani wangebisha tu.

Mkuu, hawa wafuasi wa CHADEMA wamejazwa sumu kali sana na Dr Slaa, hivyo ameathiri bongo zao kuweza kufikiri vizuri, ni kazi yetu kuhakikisha tunawapa elimu ya uraia ili waweze kujitambua upya, wewe si unaona jinsi wanavyo tukana, sasa mtu mwenye akili zako timamu tena mtu mzima kuanza kumtukana mtu usiemjua kwenye mitandao, huoni ni jambo la ajabu sana?
 
Kinana jangiri angojee mpaka mbingu igeuke rangi kuwa ya Kisomali ndio ataombwa msamaha vinginevyo jela inamgoja siku kikwete akifa au akimaliza muda wake Kinana atanyea debe
 
Mashoga mna kazi usipotaka jina la kamanda wa CDM HATA MMOJA HULIPWI? Yaani MTEI AKAONGEE NA JANGILI? Tukutane mahakaman tushasema.

Kwani huyu Mtei katajirikaje, na wakati alipokuwa waziri ni wakati wa ujamaa na harakati za kujieleza mtu una mali kiasi gani. imekuwaje akawa tajiri hivyo, La pili yeye na hao ndugu zake wa Mtei Bus si ndio wanao choma mabasi ya wenzao, kwa ujangili. na pia si ndio wanaua wafanyi biashara washindani. hata yule msomali wa katesh si aliuliwa na watoto wa nduguyake Mtei, Mtei is the MAFIA DON
 
Ila kwa tz ushahidi kukosekana ni kawaida.....dowans hatuna ushahidi, kagoda nenda uendako hakuna ushahidi, epa zunguka weeeee lkn ujue hakuna ushahidi, kuuawawa mwangosi mbele ya kamuhanda usiulize kitu kwa sababu hakuna ushahidi.....sembuse jangili kinana ushahidi upatikane?!. Kitu kizuri ni kuwa nchi bado inaamani teleeeeeee....This is only in tz.
 
Tatizo wewe U-CHADEMA umekuzidi, yaani kuweka taarifa za kueleza ukweli juu ya chama chako nimekuwa mtoto?

Kama mlidhani JF ni mahala pa kukuta taarifa za kumpamba Dr Slaa basi kwa sasa mtazi-miss sana, maana hana zuri la kuweza kupambwa yule babu. Tutaweka maovu yote mpaka database yetu itakapo isha ndio tutakapo acha, hakuna kulala mpaka CHADEMA ibaki uchi.
Mburula wewe kwa hiyo JF ni yakukupandisha chati kwamba unatukana Dr Slaa na chadema muombe awe baba yako basi manake inaelekea hukupata malezi utotoni kutukana kwako unaona umepata degree
 
Saaizi sie tunanyea ndoo ila mkumbuke wana ccm kuwa baadaye nyie hamtanyea ndoo ila mtakula mavi.......
 
Mburula wewe kwa hiyo JF ni yakukupandisha chati kwamba unatukana Dr Slaa na chadema muombe awe baba yako basi manake inaelekea hukupata malezi utotoni kutukana kwako unaona umepata degree

Wewe binti mbona una fujo hivyo? nyinyi ndio mnajiwekea ndoa zenu lehani, kwani hakuna mwanamme ambae atakuwa tayari kupata shida na mwanamke machepele kama wewe, CHADEMA imetuaribia mpaka dada zetu sasa, yani una fujo kama Lema?
 
Is this the limit of your thinking?
 
Back
Top Bottom