Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,557
- 3,567
Msimu wa chaguzi huwa ukikaribia tu, fitna na mashambulizi dhidi ya CHADEMA na hususani mwenyekiti wake taifa ndugu Freeman Mbowe huzuka na kuongezeka maradufu...
Na bahati ni kuwa CCM hawajifunzi tu kuwa CHADEMA na Freeman Mbowe ni mfupa ambao fisi mtafuna mifupa alishaushindwa...!
Yaani kama Jiwe a.k.a John P. Magufuli aliishindwa kuifuta CHADEMA kwa jinsi alivyokuwa aggressive na jeuri na ambaye alikuwa tayari hata kuua wana - CHADEMA wote mchana kweupe, ni nani mwingine ndani ya CCM hii iliyokwisha kuchoka, wadangayifu, waongo na walio dhaifu wa ufahamu na akili wanaweza?
Ni huyu Rais na mwenyekiti wenu CCM Bi Samia Suluhu Hassan aliye mwanamke tu tena kutoka taifa jingine la jirani la Zanzibar aje kuharibu Tanganyika?
Aaaah, please save that crap!!