Wacha uongoTundu Lissu ameamua kuzira na kwa kiburi cha Mbowe asitarajie chochote kubadilika.
Mbowe aliwahi kumtoa Lissu kwenye Uenyekiti wa Kanda ya Kati kwa kumdhalilisha hivi hivi kama Msigwa Lissu akavumilia ila safari hii uvumilivu unaweza kumshinda
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Usimwamini mwanasiasa mkuukwa heshima aliyonayo Lisu ikitokea anaachana na Chadema ajiweke pembeni na siasa, asiende upande wa pili, itamshushia heshima.
Ruzuku ipi???Nashauri Lissu na wote, waondoke chadema wamwachie chadema mbowe na sugu, maana mbowe amekwisha kipasua chama!,
N. B,
Msigwa asipoueleza umma juu ya wizi, ubinafsi, rushwa za kina mbowe na genge lake na majumba waliyonunua dubai na S. A, kwa fedha za ruzuku hataeleweka!
kani chadema anaheshima gani anavyo dhalilishwa na mbowe akataka kuonja sumu akwahishwa hospital@erythrocitekwa heshima aliyonayo Lisu ikitokea anaachana na Chadema ajiweke pembeni na siasa, asiende upande wa pili, itamshushia heshima.
mwangalie huyu naye kwani hujui kama chama kinachukua ruzuku?Ruzuku ipi???
Lissu unamjua vizuri kqeli akitaka kuhama siyo staili ya Msigwa anajitambua ataitisha press na kutangaza straight. Acheni uzushi.Nashauri Lissu na wote, waondoke chadema wamwachie chadema mbowe na sugu, maana mbowe amekwisha kipasua chama!,
N. B,
Msigwa asipoueleza umma juu ya wizi, ubinafsi, rushwa za kina mbowe na genge lake na majumba waliyonunua dubai na S. A, kwa fedha za ruzuku hataeleweka!
🚮🚮🚮Nashauri Lissu na wote, waondoke chadema wamwachie chadema mbowe na sugu, maana mbowe amekwisha kipasua chama!,
N. B,
Msigwa asipoueleza umma juu ya wizi, ubinafsi, rushwa za kina mbowe na genge lake na majumba waliyonunua dubai na S. A, kwa fedha za ruzuku hataeleweka!
Na unajiona bado upo sawasawa kichwani?Tundu Lissu ameamua kuzira na kwa kiburi cha Mbowe asitarajie chochote kubadilika.
Mbowe aliwahi kumtoa Lissu kwenye Uenyekiti wa Kanda ya Kati kwa kumdhalilisha hivi hivi kama Msigwa Lissu akavumilia ila safari hii uvumilivu unaweza kumshinda
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Msigwa ni mchungaji wa kitu gani? Au ni wa dhehebu fulani la kikristo.🚮🚮🚮
Mtasubiri sana nyie timu chawa, siyo kila mtu ananunulika
Amini Mungu PekeeUsimwamini mwanasiasa mkuu

Punguza uongo. Halafu Lissu yupo nje ya nchi.Tundu Lissu ameamua kuzira na kwa kiburi cha Mbowe asitarajie chochote kubadilika.