Ukweli unabaki pale pale.. Hapa duniani hakuna mtaalamu wa ndoa.
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaooana bila mapenzi... ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana bila mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoendana tabia kama mapacha.. ndoa zinawashinda
Kuna wasioendana kabisaaaaa.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoishi kwa mazoea.. ndoa zinadumu
Kuna ambao hata hawajui kwanini walioana.. ndoa zinadumu!
Kuna wanaochunguzana miaka kumi.. ndoa zinawashinda
Kuna ambao hawaoani kabisa.. wanaishi tu.. miaka nenda rudi hawana tatizo.. wako happy
Kuna wanaokutana na kuoana ndani ya miezi miwili.. ndoa zinadumu.....nakadhalika.. nakadhalika.
AND VICE VERSA
Bottom line:
1. Kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo pale utakapohamua. Kama hutaki/hujaamua ACHA.
2. Kama uko kwenye ndoa, live each day as it comes. Enjoy the moment
3. Kama ndoa yako ina amani, mshukuru Mungu wako.. usiseme ni kwasababu nilifanya hivi.. au nilifanya vile..
4. Ukioa/olewa ishi the best way unavyojua wewe. The end will justify the means
5. Mwisho, kumbuka ndoa ni ARTIFICIAL sio natural. Naturally, binadamu hauko wired kuishi na mtu mwingine for the rest of your life.

kwa wewe unaielewaje hii sentensi?Hakuna ambaye huwezi kuishi bila yeye.
Mie suala awe mzuri tu, mengine baadaye. Huwezi kuoa mwanamke kama jini ili mzae vibudu aisee. Japo mke wangu nakiri wazi kwa sasa ananipa jakamoyo ila sikomi nagegeda kiulafi hadi anapoa. Ndoa bana is all about kugegeda. Malengo sijui mipango hiyo hutokea kwa bahati tu kama ya Mendel yule wa Genetics.
Pangu Pakavu.

Kwanini?
Ndugu kupenda ni nini?
Haaaa!!!!!!!!!!!
Mie suala awe mzuri tu, mengine baadaye. Huwezi kuoa mwanamke kama jini ili mzae vibudu aisee. Japo mke wangu nakiri wazi kwa sasa ananipa jakamoyo ila sikomi nagegeda kiulafi hadi anapoa. Ndoa bana is all about kugegeda. Malengo sijui mipango hiyo hutokea kwa bahati tu kama ya Mendel yule wa Genetics.
Pangu Pakavu.
Mama muuza niongezee nusu niwachane wajuaji hapa...wewe unadhani ndoa mchezo...kama huna ubavu wa kumgegeda mkeo hadi agegedeke achana na wazo la ndoa...bakini wapenzi tu mkitembea barabarani mnashikana mikono..hovyooooo
Ndo ukweli huo bibie...wasije watu na mastori kibaaooo oohh mara asiwe mbaguzi mara oohh tabia njema...sijui mpenda watu...wewe una scanner?? Miw nilikuwa joroe lakini nimepatikana so nimeamua wembe ni uleule...kugegeda tu kwa fujo...jikoni...sebuleni...kwenye ndinga yangu...bafuni mie sina habari napiga maneno tu...hadi akiniona anakosa raha mie sijali nagegeda tu.
changamoto ni nyingi sana katika ndoa.
Na ni ngumu sana kuzitolea majibu mepesi.
lakini mapenzi na upendo ndio kigezo kikubwa zaidi kikiambana na FURAHA.
Mana ni rahisi kwa mtu anaekupenda kukuvumilia,ni rahisi kukusamehe makosa yako.
MAPENZI ,UPENDO NA FURAHA vinapungua ama kukata kwa sababu pia.
Mfano mpenzi wako anaweza kukuvumilia tabia asiyoipenda,badala ya kuacha unaendelea,inafika wakati anakata tamaa kukubadilisha anaanza kuishiwa upendo na furaha na hapo kuna ndoa za wengine anazitamani kwa mtazamo wake.HAPO AKIPATA MTU AKAJIONA MWENYE FURAHA NDIO MAMBO HUHARIBIKA KABISA.
mimi vigezo vyangu ni kama ifuatavyo.
1.uzuri ndio nambari moja(plus usafi)
2.tabia mjema(hili ni pana)
3.awe na heshima kwa kila mtu
4.mpole
5.asiwe mbaguzi(mf hatakiwi kuwa mchoyo)
7.MAPUNGUFU YAKE LAZIMA NIYAJUE NA NISIPOYAJUA HAPO BADO SIJAMUA KUMUOA HATA MPAKA KESHO.
sababu ya mapungufu ndio huvunja ndoa nyingi.
UNATAKIWA KUJUA MAPUNGUFU YAKE ILI UJUE KAMA UNAWEZA KUYAVUMILIA MUDA WOTE WA NDOA,mana haya huwezi kuyaondoa kamwe
Ukweli unabaki pale pale.. Hapa duniani hakuna mtaalamu wa ndoa.
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaooana bila mapenzi... ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana bila mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoendana tabia kama mapacha.. ndoa zinawashinda
Kuna wasioendana kabisaaaaa.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoishi kwa mazoea.. ndoa zinadumu
Kuna ambao hata hawajui kwanini walioana.. ndoa zinadumu!
Kuna wanaochunguzana miaka kumi.. ndoa zinawashinda
Kuna ambao hawaoani kabisa.. wanaishi tu.. miaka nenda rudi hawana tatizo.. wako happy
Kuna wanaokutana na kuoana ndani ya miezi miwili.. ndoa zinadumu.....nakadhalika.. nakadhalika.
AND VICE VERSA
Bottom line:
1. Kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo pale utakapohamua. Kama hutaki/hujaamua ACHA.
2. Kama uko kwenye ndoa, live each day as it comes. Enjoy the moment
3. . usiseme ni kwasababu nilifanya hivi.. au nilifanya vile..
4. Ukioa/olewa ishi the best way unavyojua wewe. The end will justify the means
5. Mwisho, kumbuka ndoa ni ARTIFICIAL sio natural. Naturally,.
5 binadamu hauko wired kuishi na mtu mwingine for the rest of your life.