Msifunge ndoa kwasababu 'mnapendana'

Msifunge ndoa kwasababu 'mnapendana'

Mi naona tunadanganyana tu hapa. Wacha nikalewe huko Kiloleni...hakuna mtu ataniambia anajua sana ndoa ni nn...wewe nakushauri oa binti mzuri basi. Mengine baadae. Washkaji eehh mnaniboa mie nasepa...Lara1 niPM nikupe ratiba ya leo...
 
ukweli unabaki pale pale.. Hapa duniani hakuna mtaalamu wa ndoa.
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. Ndoa zinawashinda
kuna wanaooana kwa mapenzi.. Ndoa zinadumu
kuna wanaooana bila mapenzi... Ndoa zinawashinda
kuna wanaooana bila mapenzi.. Ndoa zinadumu
kuna wanaoendana tabia kama mapacha.. Ndoa zinawashinda
kuna wasioendana kabisaaaaa.. Ndoa zinadumu
kuna wanaoishi kwa mazoea.. Ndoa zinadumu
kuna ambao hata hawajui kwanini walioana.. Ndoa zinadumu!
Kuna wanaochunguzana miaka kumi.. Ndoa zinawashinda
kuna ambao hawaoani kabisa.. Wanaishi tu.. Miaka nenda rudi hawana tatizo.. Wako happy
kuna wanaokutana na kuoana ndani ya miezi miwili.. Ndoa zinadumu.....nakadhalika.. Nakadhalika.
And vice versa

bottom line:
1. Kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo pale utakapohamua. Kama hutaki/hujaamua acha.
2. Kama uko kwenye ndoa, live each day as it comes. Enjoy the moment
3. Kama ndoa yako ina amani, mshukuru mungu wako.. Usiseme ni kwasababu nilifanya hivi.. Au nilifanya vile..
4. Ukioa/olewa ishi the best way unavyojua wewe. The end will justify the means
5. Mwisho, kumbuka ndoa ni artificial sio natural. Naturally, binadamu hauko wired kuishi na mtu mwingine for the rest of your life.

na tumkaribishe mungu katika ndoa zetu..tutashinda yote....
 
Kanuni za ndoa...kanuni sijui taratibu za ndoa..wewe ulishaziona?? Ama ulimbukeni tu. Halafu nina hasira na wanaojifanya wanajua ndoa ilhali wake zao kunguru tu...ni sawa na mlevi bora afiche hela akalewe kuliko wanae wale wali nyama. Kanuni kanuni..taratibu taratibu...we gegeda tu hio ndio kanuni...sasa kama kuna kanuni kwa nn watu kibao ndoa zinawaliza kisha wanagundua wake zao wana wahuni tu wanawagegeda hadi wanacheua...kutwa watu wanakula nazi na karanga...wakimshika mama papuchii hadi haoni mbele...balaa...mi naenda kulewa jamani...
 
Nazjaz...tuko pamoja...hawa jamaa wanapotosha ukweli...mi naenda ulevini jamani...
 
Ukiwa nje ya ndoa unaweza kujiuliza maswali elfu na usipate jibu.. ndoa nini? kuna wanaotamani, kuna wenye furaha, kuna wenye uchungu, kuna wanaoshindwa na kuna ambao wako wako tu...

At the end, ndoa ni mfumo wa maisha uliochagua wewe mwenyewe, hauna formula na pia wewe ndio unapanga "rules of the game"..
 
Ukweli unabaki pale pale.. Hapa duniani hakuna mtaalamu wa ndoa.
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaooana bila mapenzi... ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana bila mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoendana tabia kama mapacha.. ndoa zinawashinda
Kuna wasioendana kabisaaaaa.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoishi kwa mazoea.. ndoa zinadumu
Kuna ambao hata hawajui kwanini walioana.. ndoa zinadumu!
Kuna wanaochunguzana miaka kumi.. ndoa zinawashinda
Kuna ambao hawaoani kabisa.. wanaishi tu.. miaka nenda rudi hawana tatizo.. wako happy
Kuna wanaokutana na kuoana ndani ya miezi miwili.. ndoa zinadumu.....nakadhalika.. nakadhalika.
AND VICE VERSA

Bottom line:
1. Kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo pale utakapohamua. Kama hutaki/hujaamua ACHA.
2. Kama uko kwenye ndoa, live each day as it comes. Enjoy the moment
3. Kama ndoa yako ina amani, mshukuru Mungu wako.. usiseme ni kwasababu nilifanya hivi.. au nilifanya vile..
4. Ukioa/olewa ishi the best way unavyojua wewe. The end will justify the means
5. Mwisho, kumbuka ndoa ni ARTIFICIAL sio natural. Naturally, binadamu hauko wired kuishi na mtu mwingine for the rest of your life.
Ume hit the nail. Watafanya all kinds of research and studies still result will be the same Ndoa haina formula.
 
Me naamini ndoa ili iweze kudumu lazima kuwe na mapenzi ya dhati (kuna watu kwa bahati mbaya hawajawai kupenda kwa dhati na wala hawajui maana ya mapenzi ya dhati), UVUMILIVU pia ni nguzo muhimu huwezi kumvumilia mtu ambaye hujampenda kutoka moyoni ...Kuishi na mwenzi wako kwa maharifa (Busara inahitajika sana hapa), Chanzo cha maharifa ni kumcha Bwana

Ishi maisha ya kumcha Bwana Mungu wako wewe na mpenzi wako, Mungu muaminifu atawapa maharifa ya kuishi pamoja kwa subira na uvumilivu, Mtafurahia maisha ya ndoa, Mtapendana siku zote za maisha yenu, Mtapita majaribu yote na kuyashinda.
 
Mi naona tunadanganyana tu hapa. Wacha nikalewe huko Kiloleni...hakuna mtu ataniambia anajua sana ndoa ni nn...wewe nakushauri oa binti mzuri basi. Mengine baadae. Washkaji eehh mnaniboa mie nasepa...Lara1 niPM nikupe ratiba ya leo...

Kanuni za ndoa...kanuni sijui taratibu za ndoa..wewe ulishaziona?? Ama ulimbukeni tu. Halafu nina hasira na wanaojifanya wanajua ndoa ilhali wake zao kunguru tu...ni sawa na mlevi bora afiche hela akalewe kuliko wanae wale wali nyama. Kanuni kanuni..taratibu taratibu...we gegeda tu hio ndio kanuni...sasa kama kuna kanuni kwa nn watu kibao ndoa zinawaliza kisha wanagundua wake zao wana wahuni tu wanawagegeda hadi wanacheua...kutwa watu wanakula nazi na karanga...wakimshika mama papuchii hadi haoni mbele...balaa...mi naenda kulewa jamani...

Nazjaz...tuko pamoja...hawa jamaa wanapotosha ukweli...mi naenda ulevini jamani...

Huendi tu kulewa?
 
Umeandika kwa busara sana....

Ingawa nakiri niliolewa sababu ya kupenda; uamuzi nilochukua ulikuwa very risky...

Lazima kuwe na cha ziada...kilikuwepo ingawa by then hakikuwa that important ila kwa sasa nafurahia chaguo langu.

Ukute umeoa dad mzuri wa muonekano ...lakini anakupeleka puta...utavumilia ila ikifika pale umeanza kumuona kama dada yako; atakukomaje???

Unatakiwa uwe na sababu zaidi ya tatu za kumkubali mtu awe mwenza wako wa maisha...ukiona unajiuliza jibu linakuja moja tu 'Mzuri' jua unakoelekea kubaya.

Leo ni jumapili karibu asilimia kubwa ya walioko kwenye mahusiano yoyote watakutana leo
Hebu kwa wale mnaokutana leo jaribuni kujiuliza hili:

Hivi mapenzi tu ndo ynatosha kutufanya mimi na wewe kuoana?

Binafsi kuna kitu nimejifunza kwenye haya mambo
Watu wanaoana kwakuwa wana hisia hizi
Kila mmoja kwa mwenzake lakini baada ya muda wanaachana au wanaishi kwenye ndoa ya kimazoea tu huku kila mmoja akiwa na mahusiano nje
Kwanini?

FIKRA ZANGU KUHUSU HILI:
Mapenzi ni hisia tu kuna wakati zinatoweka na hapa zinapotoweka ndipo matatizo huanza,mimi nadhani inatakiwa watu kabla hawajaoana wanatakiwa wawe na kigezo zaidi ya hiki
Ndoa ni mahusiano ya maisha yote sio kipindi fulani tu hivyo unapoamua kuoana na mtu ni bora ukajiuliza kuhusu maisha yako yote yaliyobakia kuanzia hapo unapofunga ndoa

Mimi nadhani kuna jambo la muhimu,nalo ni mtazamo wa kila mmoja kuhusu maisha zaidi,hapa kunakuwa na mambo mengi sana kama vile malengo ya kimaisha,mazingira,familia na zaidi imani za wahusika n.k

Hua inafikia mahali wanandoa wanakuwa hawaitaji tena mapenzi kwa wenza wao kama kiunganishi kilikuwa ni hicho tu mahusiano yao yanayumba na kunakuwa na ufa mkubwa sana baina yao

Ni muhimu kuwe na zaidi ya kitu kimoja kinachowaunganisha,na kitu hiki kinatakiwa kisiwe ca muda mfupi,mapenzi yamekuwa kama ni kigezo cha mtu kuoana,lakini nyakati za mababu zetu walitazama mambo mengi sana
Kuna bibi mmoja aliniambia wakati anachumbiwa wale wapelelezi walikuja kukagua kama anaweza kufanya kazi[kulima],ana heshima,anajua kupika n.k

Nyakati hizi ni kama mapenzi hayakuwa kigezo na watu walizeeka wakiwa kwenye ndoa

Hebu jaribuni kujiuliza hili!!!!!!!!!
 
Baada ya kusoma maoni ya watu nimebaki na swali...kwani ukimpenda mtu unakuwa umependa nini hasa?????????????

Unajua unaweza kumpenda mtu sababu ya tabia au muonekano au basi tu hata sababu huna.

Kumpenda mtu kwa muonekano mara nyingi ni kumtamani...lust...lakini ndio mwanzo wa mapenzi ya kweli au kuonjana tu.

Sidhani kama kuna mtu humu ata feel proud kujua mwenza wake alimtamani...kila mtu angependa kujua kuwa kuna cha ziada kilichofanya achaguliwe yeye badala ya yule...kama ni muonekano tuuuu; what if ataonekana mwingine?

Ukiwa na cha ziada unakuwa more secured.

Huyo anayejisifu kujua kugegeda...what if akiugua magonjwa yanayotumia dawa kali ulijali wake ukapungua...?

Marriage is not only about sex wajameni...ni union ya mambo mengi saana unless mnazungumzia hizi za dot.com
 
Huwezi kumpenda mtu with no reasons. Vigezo vyote unavyovipenda awe navyo mwenzi wako ndio vinapelekea upendo uzaliwe kati yenu. Upengo huo unakamilishwa na satisfaction ya tendo la ndoa. Ndio mapenzi yenyewe.
 
Hii sayansi ya kale sana, sema ndio hivyo binadamu wa leo wanajidai wajanja sana kwenye kila kitu. Hao wazungu tunaowaiga wako bize kuachana kila siku.
 
Baada ya kusoma maoni ya watu nimebaki na swali...kwani ukimpenda mtu unakuwa umependa nini hasa?????????????

Unajua unaweza kumpenda mtu sababu ya tabia au muonekano au basi tu hata sababu huna.

Kumpenda mtu kwa muonekano mara nyingi ni kumtamani...lust...lakini ndio mwanzo wa mapenzi ya kweli au kuonjana tu.

Sidhani kama kuna mtu humu ata feel proud kujua mwenza wake alimtamani...kila mtu angependa kujua kuwa kuna cha ziada kilichofanya achaguliwe yeye badala ya yule...kama ni muonekano tuuuu; what if ataonekana mwingine?

Ukiwa na cha ziada unakuwa more secured.

Huyo anayejisifu kujua kugegeda...what if akiugua magonjwa yanayotumia dawa kali ulijali wake ukapungua...?

Marriage is not only about sex wajameni...ni union ya mambo mengi saana unless mnazungumzia hizi za dot.com

Love doesn't ask why
 
Mhhhhhh....Ngoja niungane na Christine ibrahim maana maada nzito kweli
 
Leo ni jumapili karibu asilimia kubwa ya walioko kwenye mahusiano yoyote watakutana leo
Hebu kwa wale mnaokutana leo jaribuni kujiuliza hili:

Hivi mapenzi tu ndo ynatosha kutufanya mimi na wewe kuoana?

Binafsi kuna kitu nimejifunza kwenye haya mambo
Watu wanaoana kwakuwa wana hisia hizi
Kila mmoja kwa mwenzake lakini baada ya muda wanaachana au wanaishi kwenye ndoa ya kimazoea tu huku kila mmoja akiwa na mahusiano nje
Kwanini?

FIKRA ZANGU KUHUSU HILI:
Mapenzi ni hisia tu kuna wakati zinatoweka na hapa zinapotoweka ndipo matatizo huanza,mimi nadhani inatakiwa watu kabla hawajaoana wanatakiwa wawe na kigezo zaidi ya hiki
Ndoa ni mahusiano ya maisha yote sio kipindi fulani tu hivyo unapoamua kuoana na mtu ni bora ukajiuliza kuhusu maisha yako yote yaliyobakia kuanzia hapo unapofunga ndoa

Mimi nadhani kuna jambo la muhimu,nalo ni mtazamo wa kila mmoja kuhusu maisha zaidi,hapa kunakuwa na mambo mengi sana kama vile malengo ya kimaisha,mazingira,familia na zaidi imani za wahusika n.k

Hua inafikia mahali wanandoa wanakuwa hawaitaji tena mapenzi kwa wenza wao kama kiunganishi kilikuwa ni hicho tu mahusiano yao yanayumba na kunakuwa na ufa mkubwa sana baina yao

Ni muhimu kuwe na zaidi ya kitu kimoja kinachowaunganisha,na kitu hiki kinatakiwa kisiwe ca muda mfupi,mapenzi yamekuwa kama ni kigezo cha mtu kuoana,lakini nyakati za mababu zetu walitazama mambo mengi sana
Kuna bibi mmoja aliniambia wakati anachumbiwa wale wapelelezi walikuja kukagua kama anaweza kufanya kazi[kulima],ana heshima,anajua kupika n.k

Nyakati hizi ni kama mapenzi hayakuwa kigezo na watu walizeeka wakiwa kwenye ndoa

Hebu jaribuni kujiuliza hili!!!!!!!!!

You concur with my mind, because, just few minutes ago, was thinking about the same, and there is a girl who claimed to have loved me, and so she wants to marry me, then I had to ask her this question: Do you think love is the necessary and sufficient reason/condition for us to marry?
 
Hakuna mtu yeyote asiyeweza kuishi bila mtu mwingine ambaye wamekutana ukubwani. Those are poor minds illusions and lack of stability. Katika umri fulani kila mtu huishi akiamini hivyo. later on, as you grow old and matured utaona kuwa yote hayo yalikuwa vichekesho vya akili za kitoto.

You understand this game. Mara zote nimekuwa nikiawaambia watu kuwa, ndoa ni njama/conspiracies kama zingine zote tunazozijua! Kiukweli ni kwamba katika ndoa au mahusiano watu wanachofanya ni kujibadilisha (to model themselves) kadri wawezavyo ili waendane na wenzao, wawafurahishe na kuwavutia kwa yale wanayoyapenda.
 
Ukweli unabaki pale pale.. Hapa duniani hakuna mtaalamu wa ndoa.
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana kwa mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaooana bila mapenzi... ndoa zinawashinda
Kuna wanaooana bila mapenzi.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoendana tabia kama mapacha.. ndoa zinawashinda
Kuna wasioendana kabisaaaaa.. ndoa zinadumu
Kuna wanaoishi kwa mazoea.. ndoa zinadumu
Kuna ambao hata hawajui kwanini walioana.. ndoa zinadumu!
Kuna wanaochunguzana miaka kumi.. ndoa zinawashinda
Kuna ambao hawaoani kabisa.. wanaishi tu.. miaka nenda rudi hawana tatizo.. wako happy
Kuna wanaokutana na kuoana ndani ya miezi miwili.. ndoa zinadumu.....nakadhalika.. nakadhalika.
AND VICE VERSA

Bottom line:
1. Kama unataka kuoa/olewa fanya hivyo pale utakapohamua. Kama hutaki/hujaamua ACHA.
2. Kama uko kwenye ndoa, live each day as it comes. Enjoy the moment
3. Kama ndoa yako ina amani, mshukuru Mungu wako.. usiseme ni kwasababu nilifanya hivi.. au nilifanya vile..
4. Ukioa/olewa ishi the best way unavyojua wewe. The end will justify the means
5. Mwisho, kumbuka ndoa ni ARTIFICIAL sio natural. Naturally, binadamu hauko wired kuishi na mtu mwingine for the rest of your life.

Uko sahihi kabisa!
Pia na Eiyer yuko sahihi!
Nimejaribu kutafuta mushkila, faida na hasara kati ya maelezo yako hayo nikilinganisha na mada husika nimegundua hivi:
1-Generalization haifai!
2-Hakuna formular ya mapenzi!
3-Mapenzi ni hisia zinakuja na kutoweka!
.....
Nikiangalia ktk faida nahisi Eiyer kaleta ujumbe na kutukumbusha tusioe kisa tumependa tu {vigezo vyengine vizingatiwe}! Si dhani kama kunaubaya hapa!
Also nahis kama post yako inapotosha vile! Unamaanisha mtu aowe/aolewe tu! Hayo mengine mbele kwa mbele! This is purely wrong! Embu rudia nö 3 yako hapo juu umeeleza nini!?
.....
Ivi utaniambia yale mabaraza ya kusuluhisha ndoa hayana faida yoyote? Mhh! Coz kunavijiformular mnapewa kule!
.....
Ukipanda viazi, huwezi vuna mahindi!!!!!!!!!
 
Nikweli kabisa, ndiyo maana ndoa za sasa hazi dumu, sababu kubwa watu wanaoana kwa kutumia vigezo vichache kama vile mapenzi, uzuri na ngono.Zamani ndoa zilikuwa zinadumu kwa sababu walikuwa wanafuata vigezo vyote vinavyo takiwa kwenye ndoa kama tabia nzuri, heshima, maadili, bidii, nidhamu, uvumilivu,kuweza kujitegemea,akiri, hekima, busara, kupenda ndugu, kuhemu ndugu n.k mapenzi , uzuri na ngono vilikuwa ni vigezo vya mwisho kabisa . Kama tunataka ndoa zetu zidumu kabla ya kuoa tuchunguze vigezo vyote vya msingi vinavyo hitajika katika maisha ya ndoa bora .
 
Back
Top Bottom