Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #61
Umeandika kwa busara sana....
Ingawa nakiri niliolewa sababu ya kupenda; uamuzi nilochukua ulikuwa very risky...
Lazima kuwe na cha ziada...kilikuwepo ingawa by then hakikuwa that important ila kwa sasa nafurahia chaguo langu.
Ukute umeoa dad mzuri wa muonekano ...lakini anakupeleka puta...utavumilia ila ikifika pale umeanza kumuona kama dada yako; atakukomaje???
Unatakiwa uwe na sababu zaidi ya tatu za kumkubali mtu awe mwenza wako wa maisha...ukiona unajiuliza jibu linakuja moja tu 'Mzuri' jua unakoelekea kubaya.
Hapa umesema ukweli mkubwa sana
Kuna watu wameoana huku sababu ikiwa ni kupendana tu
Lakini wanafanikiwa kuishi pamoja kwa kuwa kuna kitu zaidi kilikuwepo bila wao kujua
Hawa ndo wanaotengeneza hoja kwamba mbona wao walioana kwa kupendana na wanadumu
Ukweli ndoa ina mabo mengi sana mapenzi ni sehemu tu ya yanayotakiwa kuwepo ili muoane lakini kuoana kwa sababu mnapendana ni hatari sana