Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,676
KumbeSawa wanatamani lkn hiyo perception haitoki kwa Mwanamke wa kawaida, huyo malaya
KumbeSawa wanatamani lkn hiyo perception haitoki kwa Mwanamke wa kawaida, huyo malaya
Yaani katibu na mama mchungaji ndo wanawakilisha binadamu wote duniani? Kwanza hao wanaongoza feel free Church na hawako serious kwenye kumwabudu Mungu.Yaani ukaamini kauli ya mwanamke mmoja kwamba inawakilisha wanawake woote waliojaa ulimwengu huu??
Umwewakosea sana wanawake mkuu waombe radhi na kisha futa uzi wako
Jipe moyo tu siku ukija kutombewa tu utajuaaMe mke Wangu Hana mwingine isipokuwa Mimi tu
Mwamba umeongea kwa uchungu sana asee!Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa saana nje
Wazazi punguzeni mahari, joto la watoto wenu hatufaidi sisi peke yetu tu. Kuna wengine ambao hawakuchangia chochote wanafaidika na jasho letu, tena kwa bure kabisa. Na inawezekana tunaishi na watoto wa wanaume wengine kwa kudhani ni wetu!
ndio ujue hali si nzuri mitaani.Kila siku iendayo kwa Mungu njemba zinafungua nyuzi za kulia Lia kisa Wanamke.[emoji848]
SAHIHINakazia
Pole kama yamesha kukuta,sie wengine ngoja tuendelee nao mpaka tutakapo prove hayo unayosema...Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa saana nje
Wazazi punguzeni mahari, joto la watoto wenu hatufaidi sisi peke yetu tu. Kuna wengine ambao hawakuchangia chochote wanafaidika na jasho letu, tena kwa bure kabisa. Na inawezekana tunaishi na watoto wa wanaume wengine kwa kudhani ni wetu!
Kwahiyo we unawatetea kama nani yao??Yaani ukaamini kauli ya mwanamke mmoja kwamba inawakilisha wanawake woote waliojaa ulimwengu huu??
Umwewakosea sana wanawake mkuu waombe radhi na kisha futa uzi wako
Tupo aiseeHata mwanaume mwenye mwanamke mmoja tu hayupo
Kuna baadhi ya mambo yanafanywa Na wanawake wa siku hizi inazihirisha Hakuna mwanamke mwenye mwanaume mmoja na inaweza na wao wanatamani kama tunavyo tamani sisi na kuna uwezekano na wao wanaliwa saana nje