jana nilikuwa nimekaa na mwanangu, kuna lile tangazo la kinywaji cha mountain dew, kuna yule faru anakuja kasi kwa jamaa aliye na kinywaji hicho, faru anapiga breki kali kisha natoa kitu kutoka puani.
sasa mwenzenu si nikaulizwa, unajua watoto wa siku hizi, "dady kile kinatoka ni nini..??" baba wa watu mwaaa , i was honesty, nikajibu sijui... sasa kile ni nini, manake sie wengine twanywa maji na uji, sio hivyo vya makopo...
nijuzeni