Msicheke nimeulizwa na mimi sijui

mja

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
310
64
jana nilikuwa nimekaa na mwanangu, kuna lile tangazo la kinywaji cha mountain dew, kuna yule faru anakuja kasi kwa jamaa aliye na kinywaji hicho, faru anapiga breki kali kisha natoa kitu kutoka puani.

sasa mwenzenu si nikaulizwa, unajua watoto wa siku hizi, "dady kile kinatoka ni nini..??" baba wa watu mwaaa , i was honesty, nikajibu sijui... sasa kile ni nini, manake sie wengine twanywa maji na uji, sio hivyo vya makopo...

nijuzeni
 
Uhusiano ni kwamba akiona mountain dew anajisikia furaha hadi anaanza kutaga

ha ha ha! Nmecheka mpk, ukiachana na hcho unachokiita Yai, vilevile lile tangazo n gumu kulielewa km kumaliza COET bila Sup.
 
Uhusiano ni kwamba akiona mountain dew anajisikia furaha hadi anaanza kutaga
<br />
<br />
hahaha haaahahahaaaaaa u made my day. Nlikua natafakari nkagundua kama hili swali lingekua UE basi ningekua nsha sapu.
 
........................kumbe tupo wengi,......................nashukuru sana mja kwa hii thread ngoja niwahi nyumbani leo,ole wao ITV wasipotoa hili tangazo..............aah kumbe na umeme hakuna ...........................
 
we jamaaa umenifurahisha ila kiukweli hata mimi huwa silielewi tangazo lile......,wanaoelewa kuweni siriaz mtuambie
 
hahaha,mmepinda nyie! mie huwa linaniboa kwa kweli. bt i guess faru aliokota mpiira wa golf (ndo inachezwa mwituni huko,kama mwitu wa gymkhana,lol), halafu akautaga mpira baada ya kuona mountain dew (nimeanza uongo sasa,kha!). ila na ww sijui baba gani,hapo ulitakiwa utoe homework kesho ukute jibu na ww urudi na keki ya futari! hujui watoto wana akili kuliko sie?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom