Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Huyo genye zake zitakuwa kwenye kiuno Si bure!Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
Mkuu isije kuwa starter yk ipo kiunoni...!!Habari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
mbona mie simnyimi uhuru kumshika tu ili nipate raha.Inaonaekana hana uhuru na wewe, sasa hapo ni mwanzo tuu, je mkishaenda mbali zaid ya hapo na kuoana. si mtajikuta mnatembea km mtu na dada yake.
kwanini mkuu?Ukiona hivyo ujue anakukubali kiaina..siyo kivileeee
labdaLabda
1.unanuka kikwapa/jasho kwahio hataki umsogelee
2.hakuzimii kwahio hapendi kuonekana na wewe kama wapenzi in public
nilishawaiUlishawahi kumgegeda ama? Kuna wengne wana sitima za haraka so hataki umushike maana atajihis vibaya kabla
mkono ananirudishia mwiliniYupo na China (Shanghai). ? Kama ni NDIYO basi huenda nishaelewa. Je, anapoutoa mkono huupeleka wapi.? Fuata ushike huko using'ang'anie kiuno.
huyo labda ukimshika kiuno ananyegeka,je mkiwa chumbani wawili anakukataza?ana miaka 24
kwanini hupendi kushikwa?Mie mwenyewe sipendwi kushikwa
hahaha haha...Hao ndo wanawake wa ki analogie tafuta digital ww
muda mwingine tunatakiwa tuwe tunasikiliza nini wapenz wetu wanataka nini hawataki, sio kila kitu mpaka ujue sababu vingine kausha tu mkuu, we mwenyewe akikushika matako lazima uwe mkali kama mbogo so vingine poezea tu sio mpaka ulete humu JfHabari zenu wakuu,
mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa. Lakini kuna jambo moja dogo sana ambalo kwakweli huwa simuelewi yaani hapendi nimshike kiuno kitu ambacho mimi napenda nijivunie kwake.
Yaani nikimshika tu tunapokuwa matembezi au hata kwenye tukio kama harusi huwa hapendi na anawahi sana kutoa mkono. Sasa najiuliza kwanini awe hivyo?
Na naomba niwaulize wasichana/wanawake hivi unajisikiaje unaposhikwa kiuno na mpenzi wako au mume?
tukiwa kadamnasi,matembezi,sherehe au tukio fulani.hebu weka mambo sawa,anakataa kushikwa mkiwa faragha au mbele ya kadamnasi?
asante sana kwa kudadavuakuna muda wa kurilaksi mkuu,lazima mambo hayo yawepo,maendeleo yana wakati wake na mapenzi yana nafasi yake.
nilikuwa simuombi kumshika,nilikuwa namshika bila kumtaarifu ila nae hachelewi kutoa mkono nikirudia na yeye anatoa tena.Wewe boya itakuwa hupewi hivyo vingine.Halafu unanipa hasira.Demu hashikwi kiuno kwa hiyari Bali unalazimisha hadi alegee.wewe boya ukute unamuuliza mpenzi wako,nikushike kiuno sasa hivi.Mapunga kama nyinyi ndiyo mnafanya tuonekane wanaume wa dar hatuna swaga.Na ningempata huyo mwanamke wako ningemzaragaza kama kiwete hadi umsahau.
niliwai kudo nae.Bado bikra huyo mkuu
Mashalaah!!binafsi nikishikwa kiuno najisikia comfortable sana, napenda