Msichana wa kufanya usafi ofisini anahitajika

charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,414
2,000
Sifa za msichana anaehitajika awe na umri wa miaka 21, awenajua kuongea kiswahili na kingereza ,makazi yake yawe karibu na Kariakoo.

Halikadhalika uchapakazi unahitajika, usafi wa kwake yeye mwenyewe ni muhimu sana

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30/06/2017 ofisi ipo maeneo ya Kariakoo,
 
NAKWEDE

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
27,895
2,000
Itakuwa kweli ni tangazo la kweli maana umeweka namba za TTCL (ya mezani) ila sasa sijaelewa usafi tu ndio hadi ajue na Kingereza!!!
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,144
2,000
SIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
Huo uchafuzi utakuwa umefanywa na waingereza?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,192
2,000
SIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
Sema mnatafuta Housegirl. Kama ni usafi kuna kampuni nyingi tu za usafi nendeni mkaandikishane mkataba mpewe wafanyakazi kadri ya mahitaji yenu
 
WamLola

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
346
225
SIFA
Umri: miaka 18-22
Awe anajua kuongea kiswahili na kingereza.
Awe anaishi maeneo karibu na Kariakoo.
Awe msafi na mchapa kazi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 30/06/2017.
OFISI IPO MAENEO YA KARIAKOO,
MAWASILIANO PIGA +255 22 2181357
MFANYA USAFI AJUE KIINGEREZA
MKUU WA MKOA AJUE KUSOMA NA KUANDIKA
TUNAIKARIBIA TANZANIA YA VIWANDA:):)
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,414
2,000
Sema mnatafuta Housegirl. Kama ni usafi kuna kampuni nyingi tu za usafi nendeni mkaandikishane mkataba mpewe wafanyakazi kadri ya mahitaji yenu
Ebu nitolee shobo ukitaka niandike hivo si ungeanzisha uzi wako, na unadhani hizo kampuni sijaziona au? hii ni fursa kwa wote atakayeguswa ataomba..si kila uzi lazima uchangie!
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,611
2,000
Ebu nitolee shobo ukitaka niandike hivo si ungeanzisha uzi wako, na unadhani hizo kampuni sijaziona au? hii ni fursa kwa wote atakayeguswa ataomba..si kila uzi lazima uchangie!
Achana nao mpenzi,wala usiwajibu.
Mwenye shida atakutafuta,hawa wanaopiga kelele hapa wanajiona wajanja kumbe ndio walewale matapeli waomba assist maana ni wajuaji kwelikweli .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom