Msichana wa kufanya usafi ofisini anahitajika

Msichana wa kufanya usafi ofisini anahitajika

Boss anatoa masharti ya kazi yake,wajuaji wanakuja kumpangia na kuleta kejeli.

Kwanini na nyie msitangaze kazi mkawaita hao ambao hawajui kusoma?

Binafsi naijua ofisi ya charty...ni ya kimataifa na anafanya biashara na watu kutoka mataifa mbalimbali.

Haimake sense aajiri mfagizi ambaye hajui hata kiingereza cha kuombea maji.
 
Achana nao mpenzi,wala usiwajibu.
Mwenye shida atakutafuta,hawa wanaopiga kelele hapa wanajiona wajanja kumbe ndio walewale matapeli waomba assist maana ni wajuaji kwelikweli [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Assist[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na kiinglish changu nikawe mfagizi??!!!! Aku!
Kweli kazi zimekuwa ishu. Mfanya usafi anatakiwa ajue kingereza. Loh
Hadi usafi una masharti
Yaani sifa za mfanya usafi ni zaidi ya mkuu wa mkoa? Maana mkuu wa mkoa anatakiwa ajue kusoma na kuandika tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
aisee si kila uzi lazima uchangie..ingekua vizuri kama mngepita kimya kimya msijidai wajuajii.
 
Boss anatoa masharti ya kazi yake,wajuaji wanakuja kumpangia na kuleta kejeli.

Kwanini na nyie msitangaze kazi mkawaita hao ambao hawajui kusoma?

Binafsi naijua ofisi ya charty...ni ya kimataifa na anafanya biashara na watu kutoka mataifa mbalimbali.

Haimake sense aajiri mfagizi ambaye hajui hata kiingereza cha kuombea maji.
Nawashangaa cuzoo wanaleta ujuaji tu sijui wanadhani wapo chitchat..inakera mno alafu yanalalamika hakuna ajira, ajira zenyewe wanakejeli.
 
aisee si kila uzi lazima uchangie..ingekua vizuri kama mngepita kimya kimya msijidai wajuajii.
Kubali changamoto. Walengwa wa tangazo wamekuelewa utawapata.
 
We una ata ndugu yako mzee hiyo nayo ya kutangaza au unalako jambo kuweni makini wa Dada hapo
 
Mimi nipo namba yangu 0621 009840 ila niko tmk
434370.jpg

na huyo mtoto utamuweka wapi sasa!!
 
We zuzu naona hukupurwa vizuri usiku, umeamka na hangover ya mbege. Ni kawaida mamangi kwa wizi, dhulma na kufanya watu misukule ndio maana hamtaki kufuata masharti rasmi. Mnataka watu wa kuwaburuza
unajua mie sina time ya kubishana na mabaasha yanayowatafuta wanaume humu, btw mi mwanamke am sorry sio mda wake..nitolee shobo takataka wee
 
Back
Top Bottom