Msichana wa kufanya kazi za nyumbani

Sally

Member
Feb 25, 2008
42
0
Natafuta msichana wa kufanya kazi za nyumbani. Awe ni wa kulala huko huko kazini.Kwa anayetafuta kazi tuwasiliane kwa namba 0784 580 333
 
Mshahara ni mzuri.Kabila lolote.Familia ina watoto 3, wawili boarding na mmoja yuko darasa la 3
 
Natafuta msichana wa kufanya kazi za nyumbani. Awe ni wa kulala huko huko kazini.Kwa anayetafuta kazi tuwasiliane kwa namba 0784 580 333
a) umeoa au umeolewa
b) mna watoto wangapi?
c) wana familia ni wangapi hapo nyumbani kwenu?
d) Nyie kabila gani, maana makabila mengine kwa kutuma tuma wamebarikiwa.

maelezo plse!! usije ukawa unatafuta mke kwa njia hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom