Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

Msaada wa kupata kazi kwenye Casino

my crush

Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
52
Reaction score
100
Hello,

Mimi ni msichana ninayevutiwa sana na kufanya kazi Casino, sina connection na wala sijawahi fanya kazi hiyo.

Naomba mwenye mapenzi mema anasaidie connection.

Sipo DSM, ila naweza kufika haraka nikihitajika.

Natanguliza shukran [emoji120]

GENDER: F
AGE: 26
MARITAL STATUS: SINGLE
 
Nashukuru, nshabadili.
Hio LEGRAND nimekuja sasahivi
Picsart_24-02-16_15-57-45-864.jpg
 
Hello.
Mimi ni msichana ninayevutiwa sana na kufanya kazi Casino, sina connection na wala sijawahi fanya kazi hiyo. Naomba mwenye mapenzi mema anasaidie connection. Sipo DSM, ila naweza kufika haraka nikihitajika. Natanguliza shukran [emoji120]

GENDER: F
AGE: 26
MARITAL STATUS: SINGLE
Una watoto wangapi?
 
Back
Top Bottom