Msichana wa kazi za ndani

Pls Gaijin hny, tumia mfano wangu! U r a primary skul teacher remember and a single mother erning 200,000 a month!

Don't tell me utapika visheti na kupeleka shule ukawauzie watoto ili uearn extra income. Coz ukiniambia hivyo nitakuuliza when do u andaa next days somo, and mark u shule ina walimu saba tu! Weye una madarasa 4 na masomo 3 unayofundisha!

sometimes ni bora uchague lugha moja tu..
au do valuer hizo lol
jibu my pm

Siwezi kutumia mfano so hypothetical like that 'coz I can not understand the range of options available for her.

Naamini If a person really looks for justice, basi kuna way out.

Hivi tumejiuliza nchi nyengine za Africa wanaishije au Sout Eastern Asia wanaishije? Mbona hili tatizo la wafanyakazi wa ndani limeota mizizi Tanzania namna hii?

btw; you can always find justifications for what you want to do, be it against your culture, against your religion, against humanity.

sometimes ni bora uchague lugha moja tu..

au do valuer hizo lol

jibu my pm

Ha ha ha, umetumia lugha ngapi vile? Siwezi bold kwani niko kwenye mobile! Halafu nimekumbuka hata JF hawako consistency just like bunge etc!

Mbona nishakujibu?

Kwa mtu anayejali, mfanyakazi wa ndani huwa si mtumwa wala mtu wa kunyanyaswa, bali ni kusaidiana. Bila ya kuangalia analipwa ngapi, cha muhimu ni "fair treatment". Nimeona waajiri ambao wanasomesha hawa watoto na kuwapa huduma zote kama kwamba ni watoto wao, au tuseme ni watoto wao wa kulea. Inafika wakati wanakuwa ni sehemu ya familia. Kwa hiyo Mkuu, unyanyasaji ni tabia ya mtu lakini haina lazima iwe kila mwajiri wa mhudumu wa ndani ni mnyanyasaji.

Mkuu uliyosema kweli. Housegirl wa jirani yangu aliletwa aliletwa bush akapiga mzigo kwa miaka kadhaa. Tukamshauri amwombe mwajiri amlipie ada ya shule. Kwa vile mwajiri alikuwa ameenda shule alimwelewa na kukubali kumlipia ada akaenda kusoma kwenye zile sekondari za jioni za taasisi. Watoto wa mwajiri walikuwa wanasoma kwenye posh schools. Wakati watoto wake walifeli, housegirl alifanya vizuri sana akaendelea high level na chuo kikuu. Sasa hivi ni graduate ana anafanya kazi kwenye fani aliyosomea. Sidhani housegirl atakusahau kama ukimfanyia haya.

Kwa kweli kuna umuhimu wa sio tuu kuishi vizuri na housegils bali kuwawezesha pia. Lakini kwa Tanzania kuna tatizo kubwa sana jinsi housegirls and houseboys wanavyokuwa treated na waajiri wao. It is a very serious problem but not one is addressing it and it has not yet to appear on the global media kama lile tatizo la zeruzeru. Nimesikia kuna watu na NGOs wanataka kuitumia ile kesi ya Mtanzania aliyefungwa hivi karibuni huko Uingereza kwa kumfanya housegirl kama mtumwa kujaribu kuonyesha kuwa hili ni jambo la kawaida Tanzania.

Tafuteni video za Maweni Project muone wanayotendewa in doors. Mojawapo hii: MICHUZI: house girl: wadau tuwajadili hawa watu muhimu

nilichojaribu kumaanisha ni kwamba mshahara anaolipwa hg inabidi iwe ni kiasi anachotakiwa anachobaki nacho baada ya kutoa gharama zake muhimu na matumizi hayawezi kuzidi mapato...
Kama wewe unapokea 1m na unaweza kusave laki1 basi ndivyo inavyotakiwa kwa hg kwamba anacholipwa kiwe ni saving kwake.
Piga mahesabu mfanyakazi wa serikali anayelipwa laki2 kama analipa kodi ya nyumba, bili ya maji, umeme, matibabu mengine mwisho wa siku anabakiwa na sh ngapi.
Kwa hg kama gharama zingine zote muhimu zitakuwa juu yake obvious mshahara lazima ungekuwa juu.

gaijin hebu toa ushauri unaoona unafaa hapa.....husininyo afanye nini???????

Mkuu kwa vile unalipwa mshahara mdogo isiwe justification ya kumlipa mshahara mdogo housegirl. Mshahara wako mdogo simply means that you're not capable financially to employ another person. Unachotakiwa kufanya ni wewe ku-improve mshahara wako kwanza. Lakini ukitumia mshahara wako mdogo kujustify kumlipa housegirl mshahara mdogo mshahara wako utaendelea kuwa na mshahara mdogo as you won't bother thinking on improving it. Kwa maana nyingine utakuwa unafikiria backwards. Cha maana ni wewe kuongeza kipato chako kwanza ili nawe uweze kuajiri. If you don't have the means to do it, then don't try to do it immorally or possibly illegally.

gaijini
we huoni kuwa husninyo anaweza kuwa anamsaidia pia huyo housegirl
kama kuna watu wanawalipa elfu kumi,na yeye husninyo amejitahidi na kuwalipa 30,000?????

ukiua kwa kusudia kwa kutumia jiwe na mimi nikiua kwa kutumia bunduki punishment zitakuwa tofauti.

Mkuu kwa vile unalipwa mshahara mdogo isiwe justification ya kumlipa mshahara mdogo housegirl. Mshahara wako mdogo simply means that you're not capable financially to employ another person. Unachotakiwa kufanya ni wewe ku-improve mshahara wako kwanza. Lakini ukitumia mshahara wako mdogo kujustify kumlipa housegirl mshahara mdogo mshahara wako utaendelea kuwa na mshahara mdogo as you won't bother thinking on improving it. Kwa maana nyingine utakuwa unafikiria backwards. Cha maana ni wewe kuongeza kipato chako kwanza ili nawe uweze kuajiri. If you don't have the means to do it, then don't try to do it immorally or possibly illegally.

Hiyo ndio mentality ambayo imejikita Tanzania. Wengi wanafikiri kuwa ile ni charity na sio ajira.

Kama mtu hana uwezo wa kumlipa mtu mwengine mshahara wa haki, basi atafute means nyengine ya kutatua tatizo lake kama wanavyofanya watu nchi za nje.

• Thanks
Reactions: EMT
Gaijin asume you are a single mother, primary school teacher mshahara wako ni 200,000 unaishi jijini Dar! U need a help na jua hakuna day care center mbagala (ulipopanga) na kuna binti katoka Iringa anatafuta kazi za ndani utafanyaje?

Huko nje unapolonganisha, kuna options; kwanza mishahara mizuri, kuna kazi za few hrs, kuna daycare ambazo ziko registered though expensive! Wanaume wako so understanding that wanapeana zamu na wake zao kutake care ya watoto! Hakuna mgao wa Umeme that appliances like washing machines, dish washer etc zinakuwa na meaning that kazi zinapungua! So unappcompare baadhi ya vitu, usiache vingine kwani kila kitu kinaeffect kwa kingine!

Kwa hiyo unaona kuwa haya matatizo yote yalimbikiwe kwa housegirl?

hahaha,hayo ndo maisha ya keyboard,kila mtu mtakatifu,lol!
nilikaa na hgeli miaka kama 3,nikamuambia nimpeleke shule,akasema no,nataka unitaftie kazi kiwandani! nikamtaftia, akapangisha, mshahara laki unusu. contract imeisha miezi 6 tu akaomba arudi home asome! hips zote kwishnei! nadhani alikumbukia anavyojilipia na top layer na kujikaangia mayai baada ya mie kuondoka alfajiri na njaa yangu akona hamna cha kujifilia! anasema 'kumbe ukisema abt kuzima taa na kutomwaga sabuni, sikujua mambo magumu hivi!'. average salary ni 30, bahati sana 50!

nimesema hivyo ili kuepuka maswali ya mshahara.

Mkuu hiyo ndio mishahara yao wengi wao tukubali tukatae.

Tatizo hapa kwenye keyboard watu tunajifanya wema sana tunajali maslahi ya wengine ila nimeuliza hapo chini, mfanyakazi wa kima cha chini anayelipwa laki 2 unategemea atamlipa hg sh ngapi?.

Anyways, mawazo yako yamesikika.

hahaha,hayo ndo maisha ya keyboard,kila mtu mtakatifu,lol!

nashukuru mkwe wa kambo kwa kuliona hilo. Eti wengine wanadai wasichana wa kazi wanakosa muda wa kupumzika!

Ni suala tu la kupangilia ratiba zake vizuri na muda wa kupumzika wanapata ndio maana wengine mashavu yanawatoka kuliko wenye nyumba.

kuna wengine unakuta hgeli anahitajika kwa ajili ya security zaidi, nyumba isikae empty kutwa nzima. boss anasafiri kila siku,yeye ndo anakumbushia dstv imekata manake anakosa movie za kibongo! unyanyasaji ni tabia ya mtu,kuna watu wanachoma visu watoto waliowazaa kwa uchungu wao wenyewe!

nashukuru mkwe wa kambo kwa kuliona hilo. Eti wengine wanadai wasichana wa kazi wanakosa muda wa kupumzika!

Ni suala tu la kupangilia ratiba zake vizuri na muda wa kupumzika wanapata ndio maana wengine mashavu yanawatoka kuliko wenye nyumba.

gaijin, tell u what... kwa wengine kiukweli ni charity! kuna mtu kijijini huko anakuambia mchukue huyu mwanangu ukakae nae na usimlipe mshahara, manake hapo home hata msosi ni issue! yaani kuna mtoto anahitaji a place to eat, and sleep! dada aliyenilea mimi ni nesi mkunga, na amekua sehemu ya familia yetu kabisa na hakosi kusimulia alivyopewa maisha na wazazi wangu! wanae wawili wamesoma chuo kikuu kwa msaada bado wa wazazi wangu na wamesoma kozi niliyosoma mimi (i guess insipiration an vitabu etc). undugu wetu haueleweki kwa watu wa nje, lakini tumekuwa familia!
unyanyasaji ni tabia ya mtu nadhani. usiangalie kigezo kimoja tu cha maisha ya bongo ukataka kutatua mfumo mzima wa maisha, haitowezekana. mtu anakaa mbagala anafanya kazi kariakoo, anaondoka alfajiri anarudi usiku. hana washing machine wala umeme wa kupikia. anakaa mbali coz ndo ana-afford pango. hata kama uko single pengine utahitaji hgeli ili kulinda vijana wa mtaani wasichukue katv kako!

Hiyo ndio mentality ambayo imejikita Tanzania. Wengi wanafikiri kuwa ile ni charity na sio ajira.

Kama mtu hana uwezo wa kumlipa mtu mwengine mshahara wa haki, basi atafute means nyengine ya kutatua tatizo lake kama wanavyofanya watu nchi za nje.

Wanasumbua sana siku hizi,mi binafsi kwa mwaka huu wamepita mabei 3 wanne na wameshalala mbele,ukipata wa bush anaweza kaa kidogo.La sivyo uka hire wa kimjini mjini lakini ndo hawatulii,wako ki mishe mishe.

kwanin tunatumia Lugha za kuwadhalilisha wenzetu. Beki 3 maana yake nin?. Tuheshimu wenzetu. Japo ni wanyonge ila wanahitaj heshima.

Back
Top Bottom