BiMkubwa
JF-Expert Member
- Jan 9, 2007
- 529
- 97
Wewe ndio unaongea kwa mshahara. Watu wengi hawajui namna ya kuishi na wasichana waweze kukaa muda mrefuNa mimi natafuta binti kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea mshahara elfu 60
1. Umri wa msichana ni muhimu sana
2. Malipo unayompa maana wasichana wa kazi ni sawa na wafanyakazi wa kawaida tunapenda kufahamu anayefanya kazi kama mimi analipwa kiasi gani.
3. Environment ya kazi iwe salama na yenye amani
4. Awe appreciated.
Kwangu ni mwiko kuwa na HG mwenye umri chini ya miaka 23. Mshahara namlipa kiasi hicho 60000/=. Nampa likizo, nampa siku ya mapumziko. K Ninamuheshimu. Kwa nini asikae na mimi miaka mingi? Kila mwaka nampandishia mshahara.