Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
gaijin hebu toa ushauri unaoona unafaa hapa.....husininyo afanye nini???????
Boss siwezi kutoa ushauri kwa sababu sijui lifestyle yake wala kipato chake. Options zipo, lakini bila kujua uhalisia wa maisha yake hazitaweza kumfaa.
Mimi binafsi nimewahi kuwa "house girl" (for lack of a better word) nyumbani kwa mama yangu. Ni miaka 12 nyuma na nilikuwa nalipwa 50,000 mwisho wa mwezi kwa sababu hiyo ndio market value ya mtu aliyemaliza form 4 kiajira kwa wakati huo.
It was a win-win situation kwake na kwangu, coz mama alipata mtu anaemuamini, kumfundisha mwanawe kushughulikia nyumba yake na mimi nilipata ajira ambayo sikulazimika ku commute na pia kujifunza kuhudumia nyumba.
Ni option ambayo sio watu wengi wanaiona japo kuwa ipo. So it all depends on the lifestyle ya mtu