Msichana wa Kazi anatafutwa

Mbogela

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
1,384
257
Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV

Job Discription:
Kufanya shughuri zote za ndani ikiwemo kupika, usafi wa nyumba kwa familia ndogo.
Mshahara - Kima cha chini cha serikali
Kwa mwenye Interrest au anajua mtu anayetaka hiyo kazi aniandikie mbogela@jamiiforums.com au Pm
Asanten
 
Mbongela, nimeipenda hii. Natumaini watajitokeza umefika wakati tulifanye hili kitaalamu.
 
Msichana wa kazi anatafutwa kwa kazi za ndani kijijini kwa mkataba wa miezi Mitatu kwanza kuanzia Dec 15 akifanya vizuri mkataba unaweza kuongezwa.
SIFA
Umri - wowote
Msafi
Elimu angalau Form IV

Job Discription:
Kufanya shughuri zote za ndani ikiwemo kupika, usafi wa nyumba kwa familia ndogo.
Mshahara - Kima cha chini cha serikali
Kwa mwenye Interrest au anajua mtu anayetaka hiyo kazi aniandikie mbogela@jamiiforums.com au Pm
Asanten

Kila la kheri. Ila angalizo hapo kwenye umri. Angalia usijetumbukia kwenye ajira za watoto. Pia ungetoa angalizo la kijiji chenyewe kilipo kuna vitu kama hali ya hewa au umbali aliopo mwajiriwa mtarajiwa.
 
mbogela mie na sifa hizo natania ..ngoja tukuchekia maenoo tunayokaa
thanx in advance
 
Hahaha! Mpwa kuna zinazoshinda wanaume. Kama ile ya kufanya kazi za mama wakati mama anapokuwa kasafiri.
teh teeh, huyu mtafuta hausigeli najua yuko SINGO ndio maana nimeuliza kama akikosekana hausigeli zen tuangalie otenativu, yuu noo wora i miiin?!.
 
teh teeh, huyu mtafuta hausigeli najua yuko SINGO ndio maana nimeuliza kama akikosekana hausigeli zen tuangalie otenativu, yuu noo wora i miiin?!.

Hahaha! Mpwa bana! Ulijuaje? Avatar au? Stuka! Unaweza kuta huyu mtu ni HE anatafuta kifaranga kimtindo! Housegirl anakula mshahara kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali na mkataba wa miezi mitatu, au hujaisoma hiyo? Na NSSF atakatiwa siyo?
 
Kaka ni vizuri ukatutajia na kijiji ili tujue tunapokukabidhi msichana/mvulana tujue anaenda kuishi wapi, itatusaidia hata tunapomtafuta tunamwambia anaenda kufanya kazi wapi.
 
Hahaha! Mpwa bana! Ulijuaje? Avatar au? Stuka! Unaweza kuta huyu mtu ni HE anatafuta kifaranga kimtindo! Housegirl anakula mshahara kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali na mkataba wa miezi mitatu, au hujaisoma hiyo? Na NSSF atakatiwa siyo?
duh, ebanaeee watu wanamahesabu makali asee
nahisi anaenda vakesheni kijijini sasa anataka mambo yetu yalee, nlishangaa kima cha chini beki tatu?, Lol.
 
Sikuwa nafahamu kuwa mtu mwenye elimu ya kiwango cha form IV anakuwa housegirl!
 
Kila la kheri. Ila angalizo hapo kwenye umri. Angalia usijetumbukia kwenye ajira za watoto. Pia ungetoa angalizo la kijiji chenyewe kilipo kuna vitu kama hali ya hewa au umbali aliopo mwajiriwa mtarajiwa.

Asante kwa angalizo, lakini sidhani kama kwa mfumo wa Elimu ya Tanzania 7 + 4 atakuwa kwenye category ya watoto, maana nimesema awe Form IV kama alianza darasa la kwanza akiwa na miaka 7 kama amemaliza mwaka jana atakuwa na umri wa miaka 18 Je ni mtoto huyu?
 
Back
Top Bottom