Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.
Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.
Sio butiful girls tu,hiii ni kwa kila mtu use what you have for your own advantage.....
Narudia tena ni ujinga kufa maskini na wakati kuna resources nyingi unazo zinaweza kukutoa hapo ulipo mpaka stage nyingine
Just be smart sio kuzubaa tu,opportunities hazilali zikimsubiri mtu.......
Sio lazima hao butiful girls walalwe ndio wafanikiwe,kuna mengi beyond papuchi
Ni hasara kuwa na sura nzuri shepu nzuri ila akili huna...ngoja niishie hapa
Na wapo wengi kweli wanaotamani wangekuwa wanawake ili wahongwe, wengine wanaamua kuolewa kabisaaa!!
Duuuh! eeeh Mungu tunusuru na hili janga.
Tena akigundua tu bf ana pesa ndio kabisaaaaaa!! Na wana wivu na pesa za wanaume wenzao vibaya mnoo, they wish wangezaliwa wakike alafu warembo!! Jamani hii mbona janga! Nyie watu kwanza ni wachache, alafu tena mtufanyie hivi kweli?? Hebu kuweni na huruma basi hata kidogo kama aibu imeshindikana.
Opportunity ikitokea itumie ipasavyo, usizubae.
Haya ndio madhara ya akina mama kuingiza wanaume ndan hovyo huku watoto wakiwa wanaona. Ww kijana bila shaka mama yako alikuwa muuza uchi ulizoea kumwona akijiuza ndio maana hata akili iko kwenye kuufanya mwili wa mwanamke kama kitega uchumi
Ujue umenichanganya sasa sista, nahisi na wao wana the same thinking, wanatumia opportunity
sawa mkuu
Kwani kaka na wewe unanioneaga wivu nikipewa hela?
Hahaaaa sasa mbona umenigeuzia kibao tena sista, daaah hadi nimecheka peke yangu ujue!!
Hahahaaaaa!! Nimekumiss my beloved kaka, by the way thanx niliupata muamala, alafu mbona this time umetuma nyingi? Hii ni hongo eti? Ukichepuka nakusemea.
Hahaaaa nami nilikumis sistaangu, ndo maana nilipokuona tu fasta nikalianzisha.
Nashukuru kama muamala ulioona, hapana sista siyo hongo, this time nimeongeza kidogo ili ukae muda mrefu bila kuniomba tena, si unajua Tingatinga kaishafunga mirija yote?! so hali mbaya hata watoto nimewahamisha shule
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.
Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.