Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

Msichana mzuri kufa masikini nikujitakia

mwalimu nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.

wanawake wakipata washauri mamburula wengine watatu tu kama wewe watapiga hatua kwa kasi sana katika maendeleo ya kupata ukimwi
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    8.6 KB · Views: 353
Kizazi cha laana hiki. Kwa hiyo unataka wajiuze au? Mwanamke hata akiwa mzuri kama malaika akiwa kahaba, uzuri wake hutoweka.
 
Wacha wee kwaiyo na wewe unatumia yako eeeh..
 
Mwalimu Nyerere aliwahi sema .'watanzania uchumi mnao lakini mnaukalia' unakuta msichana sura kama bibi yake anadrive vogue la kuhongwa wewe mtoto mzuri kutwa kugombania magari mpaka umekomaa kwa kupitia dirishani.

Tumia talanta yako mjini utakufa bure kwa kuzubaa.

Hii mada nimepima ujinga wa watu wengi humu
kuna wale wanaosema mapenzi pesa ila hii mada wanaipinga
hawa wanawake wengi wao wauzaji tu
 
Huyu mleta uzii ni me au ke, kama me atakuwa anatinduliwa malinda
 
Kijana sio wadada tu hata wakaka, kama vipi ongea na kale kachalii ka Arusha kakutafutie bwana wa kizungu na wewe uolewe.
 
Huenda ni huyu huyu amebadili somo. Anatamani mmkumbuke jamani kuwa naye yupo kwenye chart

inawezekana ndo mwenyewe mana siku hizi wana mbinu kama sungura staki nataka kumbe anamwonea dada yake wivu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom